Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Diamond m20
Ali kiba m21
Bado Wema
Next week anakuja msanii mwingine atatoa zaidi
Hii ni biashara ya watu
 
That's good game of competition..... But naomba alipe pia kwa kutoa madawati kwa makonda, then kuna ile kipepeo campaign for benadetta sikumwona mwenzake alirudisha for 5 mil..... Giving back to community is habit for mond
 
Kipepeo alitoa clouds walipost twitter ila mwenywe alipiga kimya.

Hakuna haja ya Madawati ikiwa Walimu hamna
 
Mmh naona wengine mnampangia hadi atoe kiasi gani na atoe sehemu zipi. Hela ni za kwao na wana uhuru wa kuzitoa wanapopataka. Cha msingi ni "wametoa", na Hela yao itasaidia kitu fulani. Wabarikiwe, na sisi tukumbuke pia kunyoosha mikono yetu Inshallah
 
Angalieni hip picha vizuri ndio mtajua kama ni kweli
Sasa kiba nyumba yenyewe bado amepanga hizo pesa atatoa wapi ?
 
watu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
Aiseeee itabidi uwe ndugu yangu wa hiyari,no way.
 
Duuuh mapov sasa ( in mchomvu voice)......
Iko hivi, when it comes to charity its normally negotiable between a donor n organisation whether the contribution would be announced to the public or not...... So hope they did so (GSM).
When artist gives back to society it important for its management to let the public (fans) know how their artist gives away for public benefits......
This creates whats called artist-fans loyalty which ensures support for both sides√√√√
Eti hajitangazi though anafanya featuring za kimataifa ........ Inabidi akili zenu zipimwe you cant be seriously to seperate being international artist and personal artist PA.
Then before you come with your replies lets we know when gonna you donate the same amount of desks to RC ???
 
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Kiba ndoanashindana
 
Hii imeprove kuwa hawa GSM wamekubaliana na hao wasanii waonekane wamechangia kumbe labda hawajachangia chochote au sio amount hiyo wanayotuaminisha siwezi kufahamu lengo lao, ila huu ndio ukweli
 
Hivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo
Mkuu tuko pamoja GSM sio wa kichangiwa pesa Na mtu yoyote yule.
 
Hivi hujajua michezo ya hao GSM?, Hizo pesa ni zao na wanachofanya ni kuwatumia Wasanii wakubwa kuonyesha wamechangia hiyo Foundation yao, we subiri list itakuwa ndefu sana, maana bado wacheza movie na viongozi wa kisiasa
Pole kwa hili timu Kiba, ukiangalia hiyo picha unaona kabisa Kiba hana confo kabisa na anaonekana kabisa yupo kwenye maigizo
sasa hapo pole ya nini, halafu haya maneno kwa sababu ni kiba tu hakuna lolote
 
Back
Top Bottom