Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

Hapo usikute hizo hela hazijatoka mifukoni mwa hao wasanii ila kwa kua GSM Foundation wanataka tengeneza brand itambulike zaidi wamewapa mpunga hao jamaa na wajifanye kama ndo wao wamechangia kwenye foundation
 
wanaume tuache ujinga ukiona kidume mwenzio anajikunja ktk mambo muhimu wewe usikute hata pesa ya chai inakushinda hom#swism
 
Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
[emoji12] jirani
 
Huyu jamaaaa mswaz hatar..alikuwa wap siku zote mpka asikie mwenzake katoa nayy ndo katumwa apeleke ili aonekane katoa...anatbelea nyota ya mondi...hahahha
we mjamaa madha fanta sana kwa hiyo kila msaada anaotoa kiba wewe unataka awe anauza story magazetini? we umetoa sh ngapi hata umjadili
 
Kiba kaongeza moja ili amzidi mondi.....hahahahah ni vyema ilimradi GSM wapate hela
Yaani nyie wenye timu za kijinga ndo mnaochochea sasa MTU kutoa mchango diamond kaingiaje? Shame on u[emoji57] [emoji57] [emoji57]mxiuu
 
Huyu jamaaaa mswaz hatar..alikuwa wap siku zote mpka asikie mwenzake katoa nayy ndo katumwa apeleke ili aonekane katoa...anatbelea nyota ya mondi...hahahha
Eti kisa mwenzake katoa, mwenzake nani?
 
Kwani hakuna charity ingine hadi afate alipotoa Diamond? Huyu ka vile kapewa na mtu apeleke nae azungumziwe, labda kakopa za Jokate.

Geza geza hainipi kuelewa, kuna jambo.
Chuki zenu zitawaua
 
Nimeipenda zaidi no 5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
 
Chuki zenu zitawaua

Hahahaaaa chuki tena au burudani...ikikuuma uajiju

Hivi cheki buku hana au kalipia m-pesa au intaneti bankingi? Eeeeeh
Au zile za kiaina atawatumia dau kila mwezi elfu 20 hadi ifike kiasi alichotaja...muda anaujua yeye

Alienda kupiga picha tu, na kuomba atoe msaada huo kidogo kidogo au atalipa kwa njia ingine kama kutumbuiza atakapohitajika


Haya wivu mwinginr huo sababu namjua.... Eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…