Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kuna jibu nilikua nimekuandalia, ila punguza uzuzu kama ww huna muombe Mola wako akupatie siku moja.Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jibu nilikua nimekuandalia, ila punguza uzuzu kama ww huna muombe Mola wako akupatie siku moja.Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?
SimbilisiLete huo ushahidi.....alitoa bei gani....
Mond alitoa 5m
Unaamini kila aliyepanga hana nyumba?Angalieni hip picha vizuri ndio mtajua kama ni kweli
Sasa kiba nyumba yenyewe bado amepanga hizo pesa atatoa wapi ?
Facts talks........acha uchakubimbimbiSimbilisi
[emoji12] jiraniOyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.
Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Hilo jibu mpe bibi akoKuna jibu nilikua nimekuandalia, ila punguza uzuzu kama ww huna muombe Mola wako akupatie siku moja.
we mjamaa madha fanta sana kwa hiyo kila msaada anaotoa kiba wewe unataka awe anauza story magazetini? we umetoa sh ngapi hata umjadiliHuyu jamaaaa mswaz hatar..alikuwa wap siku zote mpka asikie mwenzake katoa nayy ndo katumwa apeleke ili aonekane katoa...anatbelea nyota ya mondi...hahahha
Yaani nyie wenye timu za kijinga ndo mnaochochea sasa MTU kutoa mchango diamond kaingiaje? Shame on u[emoji57] [emoji57] [emoji57]mxiuuKiba kaongeza moja ili amzidi mondi.....hahahahah ni vyema ilimradi GSM wapate hela
Eti kisa mwenzake katoa, mwenzake nani?Huyu jamaaaa mswaz hatar..alikuwa wap siku zote mpka asikie mwenzake katoa nayy ndo katumwa apeleke ili aonekane katoa...anatbelea nyota ya mondi...hahahha
Yaani wanakera Sana hawa timu ushuziYani mtu akitoa msaada kiasi Fulani mnaamini anashindana na mwenzake?
Wangese haoNa nyie na viteam uchwara vyenu hv.. Kwahiyo mnataka kiba asitoe? Kisa unayempenda katoa.. kha.. Acheni ushabiki maandazi bana
Chuki zenu zitawauaKwani hakuna charity ingine hadi afate alipotoa Diamond? Huyu ka vile kapewa na mtu apeleke nae azungumziwe, labda kakopa za Jokate.
Geza geza hainipi kuelewa, kuna jambo.
Nimeipenda zaidi no 5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]watu naona povu linawatoka ila hamjui kuwa alikiba ni mara ya pili kutoa.Mara ya kwanza kipindi cha ramadhani alitoa mchango ila hapendi sifa,hii ni mara ya pili kama una akili timamu utajua GSM ndio walikuwa wa kwanza kupost mchango wa alikiba kabla ya yeye kufanya hvyo alikiba alipost usikukabisa wakt alitoa asubuhi na GSM walipost saa 6:30:49mchana,alf GSM waliweka na kiasi ambacho alikiba alichangia kuwa ni sh 21000000 wakati yeye hajapost kiasi chochote kila alichotoa.Kama hujui mondi alipost hadi risiti .
MYTAKE tucipende kuwashindanisha hawa watu ni watu wawil tofauti 1)kiba hapendi sifa ya kuweka kila jambo lake wazi wkt mondi kila kitu kipo wazi 7bu aboost.
2)kiba anafanya kazi bila kelele wkt mondi kelele nyingi.
3)kiba kachukua tuzo lkn hajapost hata ktk official accnt zake wakt mondi watu wangeenda kumpokea uwanja wa ndege kumshangilia.
3)kiba alifika kimataifa kabla ya msanii yyte bongo kimziki lkn hakujikweza na hilo sasa hv analithitisha kwa kufanya kwa mara zingine wkt mond kilo pande anaongea .
4)kiba anafanya vzr kimataifa mfn#aje 02@trace-urban,mtv inakimbiza,soundcity, ila yupo kimya.
5)kiba mwanaume mondi mvulana
KawazimishaaKiba kanifurahisha sana alitakiwa atoe hata 30 maana timu domo kwa midomo hamjambo
Chuki zenu zitawaua