Hongera Ali Mayai Tembele

Hongera Ali Mayai Tembele

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Napenda kumpongeza Ali Mayai Tembele kwa kuwazima midomo akina Jef and co waliokuwa wanauponda uteuzi wa timu ya FIFA ya mwaka huu. Kafanya hivo leo katika kipindi cha michezo cha Clouds FM. Watu wengine bwana kuangalia tu Super Sport ndio wanajifanya wachambuzi hodari kiasi cha kujifanya wao ni juu ya benchi la ufundi la FIFA. Acheni hizo, Ali hapo Clouds FM endelea kuwepo katika kufafanua mambo ya kandanda
 
Tena alinifurahisha pale aliposema mwaka 1980 kwenye mashindano ya mataifa huru ya Africa mchezaji wa Taifa Stars Maulid Dilunga alicheza kwa dk 15 tu lakini alichaguliwa kwenye timu ya africa.
Hivyo kucheza mechi nyingi sio kigezo cha kuwa mchezaji bora ishu umefanya kitu gani kiwanjani
 
Back
Top Bottom