Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Napenda kumpongeza Ali Mayai Tembele kwa kuwazima midomo akina Jef and co waliokuwa wanauponda uteuzi wa timu ya FIFA ya mwaka huu. Kafanya hivo leo katika kipindi cha michezo cha Clouds FM. Watu wengine bwana kuangalia tu Super Sport ndio wanajifanya wachambuzi hodari kiasi cha kujifanya wao ni juu ya benchi la ufundi la FIFA. Acheni hizo, Ali hapo Clouds FM endelea kuwepo katika kufafanua mambo ya kandanda