Hongera Ally Hapi kwenda kata ya Loya- uyui, lakini wahuni walikuzidi mbinu!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!

Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi!

Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati haina dawa!!?vifaa tiba hamna wamama wananunua vya kujifungulia!!?wananchi wananunua dawa kwenye maduka ya hao hao waliopaswa kuwapa dawa za Bure au bei nafuu!!?

Mambo safi kivipi wakati hata baadhi ya taasisi za umma hazina umeme !!?kituo Cha polisi chenyewe nilipiga makelele humu ndio wakapata!!?wakati huo pale secondary ya loya hakuna umeme Hadi leo!!?Mbunge Venant akiulizwa anatoa majibu ya shombo kisa eti Loya ni Kambi ya Musa Ntimizi ,yeye Kambi yake ipo Tura pale!!?

Hiyo bara bara wanayojinasibu Toka loya maguliati uliwahi kuipita!!?wenyeji wanasema Bora ile ya zamani kuliko hiyo ya sasa!!!

Halafu hiyo bara bara ya Mabeshi Hadi loya uliipita !!?hiyo ndio iliyosababisha ulemavu wa kukatika mkono wa huyo mama uliempa chochote!wangekupitisha uone Bus zinavyokwama Kila siku kwenda Tabora,Bara bara hiyo inahujumiwa na wafanya biashara wa hapo Loya ambao ni makada wenzetu wa CCM Ili wapige Hela Kwa kupandisha bidhaa juu kuliko kawaida!!dozi ya malaria hapo ni 4000/5000 ,wananchi watawezaje Hali hiyo!!?

Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba wahuni hawakutaka ufike na umefika lakini wamekuhodhi usisikie ya wananchi vyema na hawajaridhika!ungeenda kukaa kwenye vijiwe vya kahawa uwasikilize mawazo yao kama Ntimizi anavyofanya mara Kwa mara!!huyo venant ana kiburi Cha wajomba zangu wahaya analeta Yale yahuko kwao Bukoba!!

Kuhusu mto ng'wala na vifo vya wananchi Kila mwaka ndicho kilichonifanya nijiunge jf tangu mwaka 2019october baada ya kuona tuna makada wa ccm walioshika hatam ambao wanajali fedha badala ya watu na wapiga pesa za miradi!!

Hiyo hospitali ulioambiwa imejengwa hapo loya Ina hati chafu,IPO chini ya kiwango ndio maana hawajakufikisha ukakague kile kituo Cha afya!!

Nikupe hongera Kwa kwenda Kule,kule ndio Chaka la uyui la kuchota mapesa!lakini hawapajali kabisa hasa wananchi ambao wao wanakusanya Kodi Toka kwao!

Bila kupiga makelele humu hicho kituo Cha polisi kisinge jengwa na uchomaji wa mama zetu sehemu za siri kama kule mwamabondo ungeendelea Hadi leo!!

Ni matumaini yangu kwamba hiyo kata itaendelea kupokea ugeni mkubwa wa chama huko mbeleni!!

Nikutakie majukumu mema ya kukagua ilani,nikuombe badili strategy ya ziara zako ,wahuni wana mask mno na kusiriba intention ya ziara zako,mtajikuta hammsaidii huyo mnaempigania kwamba ni yeye Hadi 2030!

Mungu ibariki Tanzania,Ibariki ccm iondoe wezi wapiga Dili na wabadhirifu ndani ya chama!
 
Alli Hapi soma hiyo,hiyo ndio ripoti ya wananchi was kata ya loya!!wamenirushia Hadi clip ulipohutubia !!

Wanaomba urudi ukae nao usikilize KERO zao!!achana na makada waliovalia sare hao wanafiki hawakwaambii ukweli!
 
Ungefupisha angeelewa.
Most of CCM leaders akili zao ni ndogo bado unawaandikia mambo marefu hivyo, hawatasoma na hata wakisoma hawataelewa.

Make it more short
 
Hapi atasoma , he's bright,vibrant, focused and ambitious! he'll go for it!
 
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!

Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi!

Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati haina dawa!!?vifaa tiba hamna wamama wananunua vya kujifungulia!!?wananchi wananunua dawa kwenye maduka ya hao hao waliopaswa kuwapa dawa za Bure au bei nafuu!!?

Mambo safi kivipi wakati hata baadhi ya taasisi za umma hazina umeme !!?kituo Cha polisi chenyewe nilipiga makelele humu ndio wakapata!!?wakati huo pale secondary ya loya hakuna umeme Hadi leo!!?Mbunge Venant akiulizwa anatoa majibu ya shombo kisa eti Loya ni Kambi ya Musa Ntimizi ,yeye Kambi yake ipo Tura pale!!?

Hiyo bara bara wanayojinasibu Toka loya maguliati uliwahi kuipita!!?wenyeji wanasema Bora ile ya zamani kuliko hiyo ya sasa!!!

Halafu hiyo bara bara ya Mabeshi Hadi loya uliipita !!?hiyo ndio iliyosababisha ulemavu wa kukatika mkono wa huyo mama uliempa chochote!wangekupitisha uone Bus zinavyokwama Kila siku kwenda Tabora,Bara bara hiyo inahujumiwa na wafanya biashara wa hapo Loya ambao ni makada wenzetu wa CCM Ili wapige Hela Kwa kupandisha bidhaa juu kuliko kawaida!!dozi ya malaria hapo ni 4000/5000 ,wananchi watawezaje Hali hiyo!!?

Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba wahuni hawakutaka ufike na umefika lakini wamekuhodhi usisikie ya wananchi vyema na hawajaridhika!ungeenda kukaa kwenye vijiwe vya kahawa uwasikilize mawazo yao kama Ntimizi anavyofanya mara Kwa mara!!huyo venant ana kiburi Cha wajomba zangu wahaya analeta Yale yahuko kwao Bukoba!!

Kuhusu mto ng'wala na vifo vya wananchi Kila mwaka ndicho kilichonifanya nijiunge jf tangu mwaka 2019october baada ya kuona tuna makada wa ccm walioshika hatam ambao wanajali fedha badala ya watu na wapiga pesa za miradi!!

Hiyo hospitali ulioambiwa imejengwa hapo loya Ina hati chafu,IPO chini ya kiwango ndio maana hawajakufikisha ukakague kile kituo Cha afya!!

Nikupe hongera Kwa kwenda Kule,kule ndio Chaka la uyui la kuchota mapesa!lakini hawapajali kabisa hasa wananchi ambao wao wanakusanya Kodi Toka kwao!

Bila kupiga makelele humu hicho kituo Cha polisi kisinge jengwa na uchomaji wa mama zetu sehemu za siri kama kule mwamabondo ungeendelea Hadi leo!!

Ni matumaini yangu kwamba hiyo kata itaendelea kupokea ugeni mkubwa wa chama huko mbeleni!!

Nikutakie majukumu mema ya kukagua ilani,nikuombe badili strategy ya ziara zako ,wahuni wana mask mno na kusiriba intention ya ziara zako,mtajikuta hammsaidii huyo mnaempigania kwamba ni yeye Hadi 2030!

Mungu ibariki Tanzania,Ibariki ccm iondoe wezi wapiga Dili na wabadhirifu ndani ya chama!
Hao wahuni ni akina nani mkuu? Wataje kwa majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom