Hongera ATCL

That was inaugural flight, ambayo imeruka na watu 100 (abiria). Kuanzia September tujulishane maendeleo yakoje.
 
That was inaugural flight, ambayo imeruka na watu 100 (abiria). Kuanzia September tujulishane maendeleo yakoje.
Abiria 140. Kwanini September?
 
Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...

Machozi yamenitoka..... Sawa ana

mapungufu yake lakini anapiga kazi.

Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu

sote. Majungu na fitna za nini..
😀 😀 😀
 
Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...

Machozi yamenitoka..... Sawa ana

mapungufu yake lakini anapiga kazi.

Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu

sote. Majungu na fitna za nini..
Umetokwa machozi?
 
Abiria 140. Kwanini September?
Abiria waliolipa nauli walikua 100. September kwa sababu ndo nauli halisi itakua imeanza kutumika, Kwa sasa nauli wanaotumia ni ya promotion.
 
Moderator watajuaje kua wewe sio staff wa Atcl na unafanya marketing ya biashara yenu? Kwa maoni yangu wako sawa
 
Maxence Melo moderators uliowaweka wengi ni partisan. Waachagua nyuzi za kuzichinjia baharinin zipi zionekane. Comment yangu hii sidhani kama itadumu.
 
Aiseee..... We si ndo umewaambia waweke wanapopenda..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…