MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Eti imekuwa biasharaModerator nani kawaambia hii ni thread ya biashara? Au ndio mnaileta huku ikose wachangiaji? Acheni mambo yenu ya ajabu ajabu, mnafikiri na uzoefu wote humu JF sijui thread gani niiweke wapi? Kama hamna kazi ingine ya kufanya endeleeni na huu ujinga.
Cc Maxence Melo
Jf bwana sijui wamekuwaje
Au usinge sema Hongera ndio kero