Hongera ATCL

Eti imekuwa biashara
Jf bwana sijui wamekuwaje
Au usinge sema Hongera ndio kero
 
Moderator watajuaje kua wewe sio staff wa Atcl na unafanya marketing ya biashara yenu? Kwa maoni yangu wako sawa
Kama wanafanya kazi yao kwa kubashiri sawa.
 
Abiria waliolipa nauli walikua 100. September kwa sababu ndo nauli halisi itakua imeanza kutumika, Kwa sasa nauli wanaotumia ni ya promotion.
Ok nimekupata
 
Wazee wa fitna wakiona hivi wanawashwa washwa...

Machozi yamenitoka..... Sawa ana

mapungufu yake lakini anapiga kazi.

Tumuunge mkono, hii nchi ni yetu

sote. Majungu na fitna za nini..
Mumwambie aache na uongo ajifunze kuwa mkweli
 
Ila trip ya kurudi hawatafikisha abiria 80
 
Welcomeeee welcomeeee welcomeeee whatiiiiiii
 
Nime-delete nilichopost awali ndio nikaandika ulichokisoma.
Hivi ukitaka ku delete uzi ulioanzisha una delet wapi.. Kuna uzi niliufungua mods wakaukwe sehemu sio ,nikawaomba waupeleke sehemu husika ikachukua siku nne na ukapoteza mvuto kwa wachangiaji nataka niufute
 
Hongera sana ATCL,na mashine jana itakuwa imerudi kutokea Mumbai ili iondoke tena leo,duh yaani Tanzania,hadi raha...
 
Hivi ukitaka ku delete uzi ulioanzisha una delet wapi.. Kuna uzi niliufungua mods wakaukwe sehemu sio ,nikawaomba waupeleke sehemu husika ikachukua siku nne na ukapoteza mvuto kwa wachangiaji nataka niufute
Tumia browser ina DELETE OPTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…