Hongera Azam FC, lakini...

Yap, hamna tofauti yeyote. Hapo Prisons na JKT sawa ila Yanga imemzidi Simba.
Ni kweli kabisa mkuu me mwenyewe naona caf kama tff ya karia tu haiwezekani Simba waiweke nafasi ya 12 Africa na Yanga iwe nafasi ya 75 wakati Yanga ni Bora kuliko Simba sijui ata wanatumia vigezo gani
 
Hivi unafikiri kujenga fanbase ni rahisi tu kama kupika ugali wa dona ?
 
Ni kweli kabisa mkuu me mwenyewe naona caf kama tff ya karia tu haiwezekani Simba waiweke nafasi ya 12 Africa na Yanga iwe nafasi ya 75 wakati Yanga ni Bora kuliko Simba sijui ata wanatumia vigezo gani
Kuwa serious mkuu. CAF hawa wenye champions lg ama wepi?

Kama hujashiriki wala huna leseni yao watakutambuaje.
 
Utaishia kulalama na yule Babu yenu. Simba ni kunyanyua vikombe, nyie kunyanyua watu kwenye viti kama fashisti dada kule ug miaka hiyo. Simba oyeee....
 
Kwa miaka ya hivi karibuni ni mwaka huu ndio Azam wameonyesha kweli wako "serious" kutokana na usajili wa nguvu waliofanya mpaka sasa toka walipoachana na wakina Kipre Tcheche. Ifike mahali tuache pembeni ushabiki wa Simba na Yanga na tuwapongeze Azam kwa hatua waliyochukua mpaka sasa hivi kwenye usajili wao. Watu wengi hapa wanawachukulia poa sana Azam lakini kwangu mimi kitendo cha kuwasajili Kola na Idris Mbombo kwenye eneo la ushambuliaji wakati tayari wana Dube imeonyesha jinsi gani wana nia na kiu ya kubeba mataji mwaka huu.

Nilichogundua hapa wapenda mpira wengi wa watanzania huwa hawatazami ligi za majirani zetu ndio maana mpaka sasa wanauchukulia poa sana usajili wa Azam. Lakini kwa mtu anayemfahamu Mbombo toka akiwa Zambia akaenda Sudan akarudi tena Zambia kabla ya kwenda Misri atajua jamaa ni mnyama kiasi gani mbele ya goli japo Misri hakufanya vizuri kabisa.

Wito wangu kwa Simba na Yanga wafanye usajili wa nguvu kwani ligi kuu itakuwa ngumu sana kutokana na usajili alioufanya Azam mpaka sasa hivi. Na pia wakumbuke kuwa timu ndogo nazo zimepata mpunga wa kutosha kutoka kwa mdhamini Azam Media kwa hiyo zitakakaza sana.
 
Ni mpumbavu na Mbwa peke yake anayeweza kutumia nafasi za CAF zinaozbadilika msimu baada ya msimu kudai ubora wa timu. kwa sababu mla tambuu wenu kawalisha maembe ng'ong'o basi na nyie mnafuata mkumbo.
Luc Eymael. Yanga ni Mbwa na Nyani. Wanapiga tu makelele hawajui mpira. Ubora wa team unapimwa kwa kuchukua Ubingwa na kufika hatua za mbali kimataifa.

Luc Eymael hakukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…