Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Kwakuwa Yanga anaifunga Simba?Sema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa Yanga anaifunga Simba?Sema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
Mkifanya usajili team yenu ikiwa bora mtaacha kuimba ngonjera zenu juu ya simbaTufanye usajili kwa lengo gani?
Yanga ni timu bora kuliko Simba. Hayo mengine ni blah blah za MO kuwaliwaza.Mkifanya usajili team yenu ikiwa bora mtaacha kuimba ngonjera zenu juu ya simba.
Yes.Kwakuwa Yanga anaifunga Simba?
Ubora kwa kipi??Yanga ni timu bora kuliko Simba. Hayo mengine ni blah blah za MO kuwaliwaza.
Kwani ubora unapimwa na nini?Ubora kwa kipi??
Vizuri mkuu, naona Kwa msimu huu Simba iko Sawa Sawa kiuwezo na Yanga,Prison na jktYes.
Yap, hamna tofauti yeyote. Hapo Prisons na JKT sawa ila Yanga imemzidi Simba.Vizuri mkuu, naona Kwa msimu huu Simba iko Sawa Sawa kiuwezo na Yanga,Prison na jkt
Ni kweli kabisa mkuu me mwenyewe naona caf kama tff ya karia tu haiwezekani Simba waiweke nafasi ya 12 Africa na Yanga iwe nafasi ya 75 wakati Yanga ni Bora kuliko Simba sijui ata wanatumia vigezo ganiYap, hamna tofauti yeyote. Hapo Prisons na JKT sawa ila Yanga imemzidi Simba.
Duuh kuwa seriousYeah kwa vikosi hivyo viwili vipo level moja.
Hivi unafikiri kujenga fanbase ni rahisi tu kama kupika ugali wa dona ?Kwa miaka kadhaa sasa watu wengi tumekuwa hatuielewi club ya Azam FC. Na hii ni kutokana na nguvu kubwa wanayotumia kuitangaza na kuboresha miundombinu vs kikosi na matokeo uwanjani.
Hakika timu imekuwa haieleweki na huwezi kuitofautisha na kina Mbeya City, Kagera Sugar, etc.
Mwaka huu tunaona kama wanataka kuwa serious maana tayari kuna sajili nzuri zimefanyika na naamini wataendelea kufanya hivyo maana bado kuna maeneo machache yanapaswa kuongezwa nguvu.
Kwanza upande wa Golikipa. Huyu mganda kama ndiyo mnatarajia kumtumia kama No. 1 msimu ujao basi hapo kuna kasoro. Huyu si mzuri sana hata yule Mghana Abdulrazack Barola anamzidi sana tu. Lazima atafutwe Golikipa wa ukweli wa kuhimili michuano mikubwa ijayo.
Pili bado nina wasiwasi na nafasi ya kiungo mkabaji. Lazima atafutwe mtu mwenye nguvu na kasi.
Kadhalika ongezeka straika mpambanaji ili kutoa ushindani kwa Dube ambaye naona ana kismati cha majeraha.
Mwisho kama Ntibanzonkiza yupo free mchukueni ni mpambanaji mzuri tu na anaweza kusainia kuwa na kikosi kipana na anaweza kutumika kwenye baadhi ya mechi na ASFC.
Kwa miaka hii zaidi ya kumi ambayo mpo ligi kuu mlitakiwa kuwa tayari mmejenga fan base nzuri ila inashindikana sababu mnakuwa kama vile hampo serious. Watoto wanaokuwa wangekuta kuna timu inazinyanyasa Simba na Yanga wale wasingejiunga huko. Na nafasi hiyo mnayo
Kila la kheri.
Itategemea kama ligi itaanza wakiwa tayari wameshapata Chemistry nzuri kikosiniMsimu huu utakua msimu bora tangu ianze Ligi Kuu
Yanga ilingane na simba kiwango ?Sema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
Kuwa serious mkuu. CAF hawa wenye champions lg ama wepi?Ni kweli kabisa mkuu me mwenyewe naona caf kama tff ya karia tu haiwezekani Simba waiweke nafasi ya 12 Africa na Yanga iwe nafasi ya 75 wakati Yanga ni Bora kuliko Simba sijui ata wanatumia vigezo gani
Yanga hawezi kuwa kiwango sawa na simba wewe nyani.Sema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
Simba hawezi kuwa sawa na Yanga we kiceme tepetepe.Yanga hawezi kuwa kiwango sawa na simba wewe nyani.
Hapa nakubali. Simba ipo nafasi ya 13 yanga ya 88 ngekuwa mpumbavu au mbwa kusema wapo kiwango sawa. Hapa umenena vyema.Simba hawezi kuwa sawa na Yanga we kiceme tepetepe.
Luc Eymael. Yanga ni Mbwa na Nyani. Wanapiga tu makelele hawajui mpira. Ubora wa team unapimwa kwa kuchukua Ubingwa na kufika hatua za mbali kimataifa.Ni mpumbavu na Mbwa peke yake anayeweza kutumia nafasi za CAF zinaozbadilika msimu baada ya msimu kudai ubora wa timu. kwa sababu mla tambuu wenu kawalisha maembe ng'ong'o basi na nyie mnafuata mkumbo.