Hongera Azam FC, lakini...

Kuna fedha wataipata yanga endapo watatokea nafasi ya pili. Azam wanaitafuta nafasi hiyo ili yanga wazikose
 
Luc Eymael. Yanga ni Mbwa na Nyani. Wanapiga tu makelele hawajui mpira. Ubora wa team unapimwa kwa kuchukua Ubingwa na kufika hatua za mbali kimataifa.

Luc Eymael hakukosea.
Unajiaibisha.
Kwa hiyo Namungo ni bora kuliko Azam FC na YANGA?
 
Kumbe kweli hujui unalobishia, we ushaambiwa biriani basi tayari.
Victim OF PROPAGANDA.
Sasa si ungenijibu kunielimisha mimi Utopolo,Nyani na Mbwa nisiyeelewa mpira? Nataka twende taratibu bila mihemko. Ukiwa umetulia umekaa kitako vizuri bila kusumbuliwa na chochote. Maana huko nyuma ulianza hivi nikaona kama umetulia naona umerudisha tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…