Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Ushindi kwa category ya kuchukua vikombe??Kwani ubora unapimwa na nini?
Si ushindi? Au labda wewe unazungumzia ubora upi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi kwa category ya kuchukua vikombe??Kwani ubora unapimwa na nini?
Si ushindi? Au labda wewe unazungumzia ubora upi.
Unajiaibisha.Luc Eymael. Yanga ni Mbwa na Nyani. Wanapiga tu makelele hawajui mpira. Ubora wa team unapimwa kwa kuchukua Ubingwa na kufika hatua za mbali kimataifa.
Luc Eymael hakukosea.
Kwa nini umetoa Mfano wa Namungo na Azam? 😁😁😁😁Unajiaibisha.
Kwa hiyo Namungo ni bora kuliko Azam FC na YANGA?
Vikombe gani?Ushindi kwa category ya kuchukua vikombe??
Si mnatumia 5 year Rank ya CAF?Kwa nini umetoa Mfano wa Namungo na Azam? 😁😁😁😁
Ambayo inasemaje? Na ranks zinapimwa kwa kutumia kigezo gani?Si mnatumia 5 year Rank ya CAF?
Kumbe kweli hujui unalobishia, we ushaambiwa biriani basi tayari.Ambayo inasemaje? Na ranks zinapimwa kwa kutumia kigezo gani?
Sasa si ungenijibu kunielimisha mimi Utopolo,Nyani na Mbwa nisiyeelewa mpira? Nataka twende taratibu bila mihemko. Ukiwa umetulia umekaa kitako vizuri bila kusumbuliwa na chochote. Maana huko nyuma ulianza hivi nikaona kama umetulia naona umerudisha tena 😂😂😂😂😂Kumbe kweli hujui unalobishia, we ushaambiwa biriani basi tayari.
Victim OF PROPAGANDA.
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.Sasa si ungenijibu kunielimisha mimi Utopolo,Nyani na Mbwa nisiyeelewa mpira? Nataka twende taratibu bila mihemko. Ukiwa umetulia umekaa kitako vizuri bila kusumbuliwa na chochote. Maana huko nyuma ulianza hivi nikaona kama umetulia naona umerudisha tena 😂😂😂😂😂
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.