Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba...
Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia!
Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza.
Jiandaeni kwa tano zingine...!!
Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy kabisa!!
 
FB_IMG_1710705226854.jpg
 
Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.

Na je nani atatoa sare na Yanga?
 
Ufungwe wewe ushauri uwape Simba,utopolo bhana
 
Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.

Na je nani atatoa sare na Yanga?
😂😂😂😂
Tulia hapo hapo uone mambo yanavokuja kukaa mswano
Au unahisi watu wanawaogopa nyie
 
Kujiamini kupita kiasi wakati mwingine huzaa ujasiri sehemu ambayo inahitajika akili.
 
Back
Top Bottom