Hongera Azam TV kuonesha Euro 2016

Hongera Azam TV kuonesha Euro 2016

Nadhan ZBC wataonesha kwa sababu kule zsnzibar wanatumia cable television. Na machanel ya kiarabu wanayakamata free. Ila kwa kuibia kws sababu hawana haki ya kurusha mtanange huo!
 
Mtanange wa leo wa Mo Bejaia v Young Africans utapigwa saa 21:15 kwa saa za GMT siku ya tarehe 19 Juni 2016 sawa na saa 00:15 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) siku ya tarehe 20 Juni 2016.

Ni muda mbaya lakini kwa vile nimekunywa maji ya bendera itabidi nilale mapema ili niamke muda huo. Karibuni wadau wa soka wenye mapenzi mema na timu yetu. Wale wahafidhina waendelee na Euro kisha walale kabisa.

Live streaming link hii hapa:

مشاهدة مباراة مولودية بجاية ويانغ أفريكانز اليوم 19-6-2016 كأس الإتحاد الأفريقي
Vp naweza kuangalia kwa kutumia simu? simu yangu ni Lumia 530 wndows phone line ya halotel
 
Back
Top Bottom