Hongera Baraka Minjakwa kuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,852
Reaction score
931
Hongera zimwendee Baraka Minja ambaye katika mitihani ya IGCSE mwaka 2012/13 alikuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia (Physics). Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili kwani katika mitihani ile alipata masomo yote A* isipokuwa moja ambalo alipata A. Kwa sasa anasoma Witswatersrand University (RSA).

Haya yanatokea wakati nchi yetu kwa mwaka huu wameajiri walimu 158 tu watakaoweza kufundisha Physics wakati wale watakaoweza kufundisha Kiswahili ni 6484, History 5843, Geography 3432, na Kiingereza 2870.
 
daah nzuri sana hio., yupo mwaka wa ngapi
 
So, what do you want to say? No link

hongera bwana minja ni haki yako kuwa praised kwa ulichookifanya....imenishangaza sana yaani ratio ya waalimu wa fizikia na kiswahili ni balaa.da. .ndio maana waalimu wa fizikia maranyingi wanalamba mia kwenye bodi ya mikopo ili kuwavutia wawe wengi lakini naona kama bado ni wachache tu.mi wadogo zangu nimewatia moyo wasihame pcm na kuwapa morale ya kusoma pcb,pcm maaana ndio kuna shortage huko
 
big up siku si nyingi atapewa uraia wa marekani(dual citizen ship) then wakamia..TUPO HAPA BONGO
 
Hongera zake, uwezo wake kiakili usiishie kwenye kufaulu mitihani tu
 
Duniani? Haya bana mimi acha nikomae na kitenzi kikurupushi changu njia ya uwani isiote nyasi. Hongera kuwa bingwa wa physics.
 
hahahah kitenzi kikurupushi kipoje hicho?

hukijui mkuu me nilikuwa nawasikiaga HKL shuleni wanasema ni kitenzi kipya so next syllabus kinawekwaa wazi kifundishwee...!haahaahaa noumer kweli
 
Back
Top Bottom