Hongera zimwendee Baraka Minja ambaye katika mitihani ya IGCSE mwaka 2012/13 alikuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia (Physics). Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili kwani katika mitihani ile alipata masomo yote A* isipokuwa moja ambalo alipata A. Kwa sasa anasoma Witswatersrand University (RSA).
Haya yanatokea wakati nchi yetu kwa mwaka huu wameajiri walimu 158 tu watakaoweza kufundisha Physics wakati wale watakaoweza kufundisha Kiswahili ni 6484, History 5843, Geography 3432, na Kiingereza 2870.