Hongera zimwendee Baraka Minja ambaye katika mitihani ya IGCSE mwaka 2012/13 alikuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia (Physics). Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili kwani katika mitihani ile alipata masomo yote A* isipokuwa moja ambalo alipata A. Kwa sasa anasoma Witswatersrand University (RSA).
Haya yanatokea wakati nchi yetu kwa mwaka huu wameajiri walimu 158 tu watakaoweza kufundisha Physics wakati wale watakaoweza kufundisha Kiswahili ni 6484, History 5843, Geography 3432, na Kiingereza 2870.

So, what do you want to say? No link
daah nzuri sana hio., yupo mwaka wa ngapi
hongera bwana minja ni haki yako kuwa praised kwa ulichookifanya....imenishangaza sana yaani ratio ya waalimu wa fizikia na kiswahili ni balaa.da. .ndio maana waalimu wa fizikia maranyingi wanalamba mia kwenye bodi ya mikopo ili kuwavutia wawe wengi lakini naona kama bado ni wachache tu.mi wadogo zangu nimewatia moyo wasihame pcm na kuwapa morale ya kusoma pcb,pcm maaana ndio kuna shortage hukoHongera zimwendee Baraka Minja ambaye katika mitihani ya IGCSE mwaka 2012/13 alikuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia (Physics). Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili kwani katika mitihani ile alipata masomo yote A* isipokuwa moja ambalo alipata A. Kwa sasa anasoma Witswatersrand University (RSA).
Haya yanatokea wakati nchi yetu kwa mwaka huu wameajiri walimu 158 tu watakaoweza kufundisha Physics wakati wale watakaoweza kufundisha Kiswahili ni 6484, History 5843, Geography 3432, na Kiingereza 2870.
Duniani? Haya bana mimi acha nikomae na kitenzi kikurupushi changu njia ya uwani isiote nyasi. Hongera kuwa bingwa wa physics.
hahahah kitenzi kikurupushi kipoje hicho?