UMEMSAHAU NA MOSHATatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Kuna DTB pia wako vizuriHao wateja wenyewe siku hizi wanapukutika tu! Benki imejaa makato ya hovyo hovyo!! Habari ya mjini kwa sasa ni Equity Bank. Hakuna makato kwa mwezi! Na wanatoa mzigo mkubwa kuliko hao CRDB!
Hii research umeifanyia wapi unaelewa asilimia 80% vizuri au umeandika tu kwa kua ulikua na bando na user ID ya JF?Tatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Kwani sasa sina ID ya JF ama sina bando? Una akili sawasawa kweli?Hii research umeifanyia wapi unaelewa asilimia 80% vizuri au umeandika tu kwa kua ulikua na bando na user ID ya JF?
HapanaTatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Uelewa wa lugha na Somo la kiswahili kwako ni tatizoKwani sasa sina ID ya JF ama sina bando? Una akili sawasawa kweli?
Wewe huna akili wala maarifa ya kunifundisha mimi.Uelewa wa lugha na Somo la kiswahili kwako ni tatizo
Nimesema ulileta mada kwa sababu una bando na I.D (nazungumzia wakati ulio pita)
So elewa mambo ya nyakati. Ukisema kwa sasa huna bando na I.D inaonyesha ni jinsi gani umepotezana kwenye uelewa wa lugha na matumizi ya nyakati kwani mada umeleta sasa ivi au ni muda ulio pita?
Your Avatar Speaks louder and goes inline with what you are saying here.Wewe huna akili wala maarifa ya kunifundisha mimi.
Wewe huna unachokijua mimi sikijui, hakipo.
Khaa . . Kudadadeki zao. Wanadhani hela zinaokotwa. Wakafie mbele ukoCRDB wezi.
Kurenew kadi sh 23800!!
Makato holela
Ni kweli kabisa. Sisi changanyikeni ngoja tuendelee na Mufindi Community Bank yetuTatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Kaka kanunue hisa NMB hutojuta. Siku ukiziuza utanikumbuka. Goodwill ya NMB ni kubwa sana kuliko hao CRDB wajanja wajanjaCRDB ni benki ya hovyo na hivi ninavyoongea nimeagiza hisa zangu ziuzwe ,sitaki tena.Benki ambayo haiwezi kutoa taarifa sahihi kwa wateja wake hiyo ni benki gani? CRDB ukiomba mkopo kuupata ni kudra za mwenyezi mungu.Kuna upumbavu mwingi crdb na akaunti naenda kuifunga.
Wanapata faida sawa lakini wana riba za kipuuzi na makato ya kishenzi sana. Nishaanza mchakato wa kuwahama hawa washenzi
Imezidiwa. Twenzetu Azania, Exim Bank au Tanzania Commercial Bank. Hakuna foleni, mshahara unapata haraka sana sababu mko watumiaji wachache. CRDB makanjanja sana siku hiziNahama kesho, haiwezekani watu wote waisingizie hii bank.
Hongera sana mzee. Umefanya vema. Umehamia benki gani ?Wameshakua na wateja wengi sana, kwa hio wanaringa, nimewahama mwezi uliopita
Mpaka barua nishapeleka kubadili mshahara kutoka huko CRDB.Imezidiwa. Twenzetu Azania, Exim Bank au Tanzania Commercial Bank. Hakuna foleni, mshahara unapata haraka sana sababu mko watumiaji wachache. CRDB makanjanja sana siku hizi
nakazia tu ni kweli hata ukienda ofisini kwao pale posta utashangaa unavyoudumiwa kama vile kinyesi wanakuona...ujinga sanaWewe mleta mada ni 'Manara' wa crdb.
Kati ya bank za hovyo hii bank ni mojawapo. Customer care kwao ni sifuri kabisa.