Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

Una miliki demu unakuja porwa na wenye cheo na uchumi

Mwenye cheo na uchumi anakufa unarudishiwa makombo unaanza kufakamia makombo as if sio makombo


Ama kweli wanaume tunapungua sikuhizi

Ndo nini hiki kupenda kitonga au
Mbna km unateseka vilee??
 
Labda billnas afanye biashara za maana apate mpunga au atoe hits apate show kiufupi ALETE mpunga mezani otherwise NDOA hii ikifika miaka 2 niite mbwa
nimekaa pale
 
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.

Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.

Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again [emoji182]
View attachment 2292811
Malenzi ya kugongana na kuonesha machupi hadharani!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Yanasemwa Mengi sana lakini Kuna ukweli upo mahali Fulani unatucheki kwa dharau.Kwa waliopitia ndoa za wanawake ama wametoka familia bora au wao wenyewe wana pesa wanajua ugumu wake.Wanaume waliooa wanawake masuper star ama wanawake walioolewa na wanaume wa namna hiyo, nao wana yao ya kusimulia.Ushauri wangu ndugu hawa wasifuatiliane.Wakiamua kufanya kazi pamoja ni sawa ila vinginevyo wakubaliane kila mtu na mishe zake ila wawe kitu kimoja wakiwa nyumbani.Akitokea mmoja akawa anamfuatilia mwenzake kama ruba hadi kwenye simu,basi hali itakuwa ngumu.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri zao...

Bill Nas ameoa mbuzi wa Roy...
 
Back
Top Bottom