Hongera BM Coach

Hongera BM Coach

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,836
Reaction score
2,536
Nipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe unakata viuno au ikitaka kulipita gari lingine abiria ndio mnaofunga brake.
God bless us tufike salama
 
Mchaga anampamba mchaga mwenzie.Isije ikawa ww ni sehem ya BM Coach
 
Naoanisha jina la Avatar na jina la basi BM ...Makundi halafu nadraw my conclusion
 
haya tumekusikia karibu sana kwenye mabasi yetu mkuu..
 
Mchaga anampamba mchaga mwenzie.Isije ikawa ww ni sehem ya BM Coach

Tusiwe wabaguzi na wenye wivu mbaya, mtu akifanya vizuri tumpe sifa ambayo ni haki yake.
Hizi bus za BM COACH ziko vizuri sana , ni kiyoyozi mwanzo-mwisho , wafanyakazi wenye nidhamu mwendo unaoridhisha na usalama wa hali ya Juu.
 
Back
Top Bottom