Hongera BM Coach

Hongera BM Coach

Kwa kweli mi mwenyewe zamani nilikuwa na ulevi wa kupanda mabasi ya abood tu,ila tokea nilivyoanza kupanda hizi BM,sijawahi tena kurudia kupanda abood,kwa kweli haya mabasi ni mazuri sana,na ile root ya Moro-Arusha ndio hana mpinzani kabisa
 
Nipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe unakata viuno au ikitaka kulipita gari lingine abiria ndio mnaofunga brake.
God bless us tufike salama
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tusiwe wabaguzi na wenye wivu mbaya, mtu akifanya vizuri tumpe sifa ambayo ni haki yake.
Hizi bus za BM COACH ziko vizuri sana , ni kiyoyozi mwanzo-mwisho , wafanyakazi wenye nidhamu mwendo unaoridhisha na usalama wa hali ya Juu.
Nashukuru mkuu. Hakika huu no uzalendo unaotakiwa
 
Back
Top Bottom