Mchaga anampamba mchaga mwenzie.Isije ikawa ww ni sehem ya BM CoachNipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe unakata viuno au ikitaka kulipita gari lingine abiria ndio mnaofunga brake.
God bless us tufike salama
mmari ni SEHEM YA BM.Ww ni mteja au ni mmoja wa marketing team yao!
Bm hana F12 +. Hizo anazo aboodHiyo itakua ni Yutong F12 plus
BM means Blasto MakundiHata jina la mwenye bus silijui. Nimefurahia Huduma yao tu mkuu
Acha Unga. Unga Mbaya jamaa! Just a jokeMi ni mteja mkuu
Mchaga anampamba mchaga mwenzie.Isije ikawa ww ni sehem ya BM Coach