Hongera BM Coach

Kwa kweli mi mwenyewe zamani nilikuwa na ulevi wa kupanda mabasi ya abood tu,ila tokea nilivyoanza kupanda hizi BM,sijawahi tena kurudia kupanda abood,kwa kweli haya mabasi ni mazuri sana,na ile root ya Moro-Arusha ndio hana mpinzani kabisa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tusiwe wabaguzi na wenye wivu mbaya, mtu akifanya vizuri tumpe sifa ambayo ni haki yake.
Hizi bus za BM COACH ziko vizuri sana , ni kiyoyozi mwanzo-mwisho , wafanyakazi wenye nidhamu mwendo unaoridhisha na usalama wa hali ya Juu.
Nashukuru mkuu. Hakika huu no uzalendo unaotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…