Mkuu
py thon chakuiga hapo ni nini?
1. Jarida la kila mwezi la kazi gani? Simba SC tuna magazeti 2 ambayo hutoka zaidi ya mara 3 kwa wiki.. sasa nyinyi endeleeni kusubiri hicho kijarida cha mwezi, wakati sisi huku tunaendelea kuhabarika kila tutakavyo.
2. Huvi press room za kisasa unazifahamu kweli Mkuu? Ulichoweka hapo haina tofauti na kiframe changu cha M-Pesa, kilichopo Tanganyika Masagati, Mkoani Morogoro.. tofauti yake ni rangi tu.
3. Kuhusu website, Siku zote Mtani mlikua? Website ya
Simba SC ipo active tangu msimu uliopita. Na kwa kuona hilo halitoshi kukidhi mahitaji ya mashabiki wetu waliozagaa kila kona ya dunia hii.. Tumekuja na
Simba App msimu huu.
4. Kuhusu kupeleka majina ya wachezaji TFF kwa mfumo wa TMS, msimu huu ni timu gani imechelewesha kutuma majina? Nadhani timu kama Lipuli, Majimaji na "tawi lenu jipya" Njombe Mji walituma kabla yenu. Kwahiyo hapa hakuna jipya.
USHAURI WANGU:
Kwa Yanga SC: Endeleeni kutembea kwenye nyayo zetu, labda nanyi ipo siku mtasogolea level zetu [maana kutufikia haiwezekani]
Kwa py thon : Nadhani hii mada ingekua njema zaidi kama ungefanya comaprison ya utendaji wa "bwana mdogo" Dismas Ten na Jerry Murro, na si kumshauri "Bigwa" Simba SC aige kitu hapo, kwake vyote hivyo ni ZILIPENDWA.
Nakala:
idawa peterwapeter mpyonko moshi vijijini Ulimakafu waukaja pasm emmyta libeva bila kumshahau "ndugu yao"
Sibonike