Hongera bwana Dismas ten umefanya mapinduzi Yanga SC, Simba SC waigeni Yanga SC katika hili

Ni chuku binafsi tu imekuandama hauna cha maana unacho eleweka
 
Mmeshaenda kwa mganga tayari kawaambia mnashinda bila ubishi.

Twahaaa bwaahaaa
 
Jerry muro kuna kitu alikuwa anatafuta hapo yanga.alivoona mipango haiwi akawa MTU wa jazba.
 
huwa nachefukwa sana nikiona mtu na akili zake timamu anashabikia hayo marangi,hata m`boreshe vipi na hayo marangi ya kile chama chenye mizizi ya chuma inakuwa kazi bure tu..
 
manara analalamika ajib kuitwa mtoto wa Mungu na mtangazaji wa mpira wa azam media aliposcore sasa sijui aitwe mtoto wa satan wakati tumeubwa kwa sura na mfano wa MUNGU
 
huwa nachefukwa sana nikiona mtu na akili zake timamu anashabikia hayo marangi,hata m`boreshe vipi na hayo marangi ya kile chama chenye mizizi ya chuma inakuwa kazi bure tu..
Ugua pole
 
Mkuu py thon chakuiga hapo ni nini?
1. Jarida la kila mwezi la kazi gani? Simba SC tuna magazeti 2 ambayo hutoka zaidi ya mara 3 kwa wiki.. sasa nyinyi endeleeni kusubiri hicho kijarida cha mwezi, wakati sisi huku tunaendelea kuhabarika kila tutakavyo.
2. Huvi press room za kisasa unazifahamu kweli Mkuu? Ulichoweka hapo haina tofauti na kiframe changu cha M-Pesa, kilichopo Tanganyika Masagati, Mkoani Morogoro.. tofauti yake ni rangi tu.
3. Kuhusu website, Siku zote Mtani mlikua? Website ya Simba SC ipo active tangu msimu uliopita. Na kwa kuona hilo halitoshi kukidhi mahitaji ya mashabiki wetu waliozagaa kila kona ya dunia hii.. Tumekuja na Simba App msimu huu.
4. Kuhusu kupeleka majina ya wachezaji TFF kwa mfumo wa TMS, msimu huu ni timu gani imechelewesha kutuma majina? Nadhani timu kama Lipuli, Majimaji na "tawi lenu jipya" Njombe Mji walituma kabla yenu. Kwahiyo hapa hakuna jipya.

USHAURI WANGU:

Kwa Yanga SC:
Endeleeni kutembea kwenye nyayo zetu, labda nanyi ipo siku mtasogolea level zetu [maana kutufikia haiwezekani]

Kwa
py thon : Nadhani hii mada ingekua njema zaidi kama ungefanya comaprison ya utendaji wa "bwana mdogo" Dismas Ten na Jerry Murro, na si kumshauri "Bigwa" Simba SC aige kitu hapo, kwake vyote hivyo ni ZILIPENDWA.

Nakala: idawa peterwapeter mpyonko moshi vijijini Ulimakafu waukaja pasm emmyta libeva bila kumshahau "ndugu yao" Sibonike
 
Ninajua ninachokisema ndo mana nikasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…