Hongera Bwana Othman M. Bawaji na Amri M.Bawaji kwa kuturudishia jarida pendwa la Sani

Hui hui yupo dimba la kati timu ya Bush stars kama kawa? Vipi Kipepe safari hii kaambulia kitoweo? Ndumilakuwili na utapeli wake je hajatiwa nguvuni? Lodi lofa mzee wa majivuno na majibu ya kukera bado hajakumbana na mwenye majibu makali zaidi? Ngoja nijitafutie nakala yangu,sijui nikoani litakuwa limeshafika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…