Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Hui hui yupo dimba la kati timu ya Bush stars kama kawa? Vipi Kipepe safari hii kaambulia kitoweo? Ndumilakuwili na utapeli wake je hajatiwa nguvuni? Lodi lofa mzee wa majivuno na majibu ya kukera bado hajakumbana na mwenye majibu makali zaidi? Ngoja nijitafutie nakala yangu,sijui nikoani litakuwa limeshafika?