Hongera CAG Kichere ila bado hatujaona ya Royal tour

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
 
Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tano ya serikali iliyotumika!.

Labda hoja ingekuwa,
Kwa vile sterling wa hiyo movie ni mtu wetu, anayekaa patakatifu petu, na ni sisi ndio tunayemgharimikia kwa kila kitu, kwa kodi zetu, hivyo we have the right to know, his public and private affairs, hivyo tuna haki ya kumjua huyo mfadhili aliyeifadhili ikulu yetu, ameifadhili kwa kiasi gani, and what does s/he stands to gain kwa ufadhili huu!.

Hili sio la CAG!
P
 
Vipi chadema hawajahusika hapa?
Mana siyo kawaida unaandika bila kutaja chadema
Kweli Kila zama na kitabu chake
 
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Hivi wewe Bwege kumbe siku hizi umeshabadilishia gia angani? Hii Dunia inaenda Kasi sana, si ni majuzi Kati tu ulikuwa mboga mboga Tena damu damu? Wajulishe na wapuuzi wenzio kuwa wakati ni ukuta
 
Report ya CAG ina chama?
 
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana 😂😂😂
 
Hiyo haizuii CAG kukagua kama imeleta faida au hasara
The mandate of ukaguzi wa CAG, ni fedha tuu zinazopitia mfuko mkuu wa serikali!.

Rais anapofadhiliwa au kuzawadiwa sio mandate ya CAG, hiyo ni mandate ya Tume ya Maadili ya viongozi wa umma, kiongozi wa umma, akifadhiliwa kitu chochote kinachozidi thamani fulani, s/he has to declare!.

P
 
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Eti tumeambiwa tuwazomee waone aibu ili wasirudie tena.
 
Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tano ya serikali iliyotumika!.

Labda hoja ingekuwa,
Kwa vile sterling wa hiyo movie ni mtu wetu, anayekaa patakatifu petu, na ni sisi ndio tunayemgharimikia kwa kila kitu, kwa kodi zetu, hivyo we have the right to know, his public and private affairs, hivyo tuna haki ya kumjua huyo mfadhili aliyeifadhili ikulu yetu, ameifadhili kwa kiasi gani, and what does s/he stands to gain kwa ufadhili huu!.

Hili sio la CAG!
P
Mbona hatujatajiwa jina la mfadhili hadi leo???.
 
Na wewe uliziamini hizo porojo?

"Tulifanya kuchangisha fedha nadhani tulichangisha kiasi cha bilioni 11 ambazo mpaka tunamaliza shooting (Royal Tour) na kila kitu, tulitumia kama bilioni 7 gharama za kila kitu. Haikutoka fedha serikalini ile yote ilikuwa ni kuchangisha mashirika"
 
Back
Top Bottom