Vp ni ile waliyopewa tenda ku supply nguo nk za maaskariWameambiwa waone aibu
Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tano ya serikali iliyotumika!.CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
π€Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tato ya serikali iliyotumika!.
P
Vipi chadema hawajahusika hapa?CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Hivi wewe Bwege kumbe siku hizi umeshabadilishia gia angani? Hii Dunia inaenda Kasi sana, si ni majuzi Kati tu ulikuwa mboga mboga Tena damu damu? Wajulishe na wapuuzi wenzio kuwa wakati ni ukutaCAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana πππCAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
The mandate of ukaguzi wa CAG, ni fedha tuu zinazopitia mfuko mkuu wa serikali!.Hiyo haizuii CAG kukagua kama imeleta faida au hasara
Eti tumeambiwa tuwazomee waone aibu ili wasirudie tena.CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara.
CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa filamu ya Royal tour.
Kama umeweza kutufunulia ya deni la taifa kufikia trilioni 110 ,umeshindwa nini kutufunulia ya Royal tour?
Chini ya Rais Samia hakuna shirika hata moja lililo na nafuu yote yako hoi!
Kazi ya Gerson Msigwa kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kutetea ufisadi kila unapotokea! Yani Gerson Msigwa wa awamu ya 5 akikutana na Gerson Msigwa wa awamu ya 6 watauwana kwa kupigana.
Mbona hatujatajiwa jina la mfadhili hadi leo???.Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tano ya serikali iliyotumika!.
Labda hoja ingekuwa,
Kwa vile sterling wa hiyo movie ni mtu wetu, anayekaa patakatifu petu, na ni sisi ndio tunayemgharimikia kwa kila kitu, kwa kodi zetu, hivyo we have the right to know, his public and private affairs, hivyo tuna haki ya kumjua huyo mfadhili aliyeifadhili ikulu yetu, ameifadhili kwa kiasi gani, and what does s/he stands to gain kwa ufadhili huu!.
Hili sio la CAG!
P
Wakati ukuta, na bado!Report ya CAG ina chama?
Na wewe uliziamini hizo porojo?Royal Tour haikutumia fedha za serikali, kuna mfadhili alijitolea kuifadhili kwa kila kitu, mwanzo mwisho!, hakuna senti tano ya serikali iliyotumika!.