Hongera Captain Hilda Wendy Ringo

Hongera Captain Hilda Wendy Ringo

Hilda ringo no mchaga.baba old moshi na mama uru
 
Ringo sio wachagga ni wapare .hujaoma msafwa anajiita mnyakyusa, mmatengo anajiita mngoni, mngara anajiita mhaya?

Acha uongo, Ringo ni Wachagga. Na huyu mdada ni Mchagga tena wa kule kwetu.
 
...Mkuu, hata alipokuwa First Officer, kwa maana ya Rubani Msaidizi, alikuwa anapaisha ndege kwa raha zake. Nilichotaka kujua ni lini alipanda cheo kuwa 'Full Captain'...

Nilmwona mkasi TV,mbona mwenyewe amesema bado hajawa full captain?...
 
...Mkuu, hata alipokuwa First Officer, kwa maana ya Rubani Msaidizi, alikuwa anapaisha ndege kwa raha zake. Nilichotaka kujua ni lini alipanda cheo kuwa 'Full Captain'...

Bado hajawa captain, alisema mwenyewe kwenye mkasi juzi j3
 
Back
Top Bottom