Hongera CCM kwa ushindi

Hongera CCM kwa ushindi

Mbowe alipaswa kuondoka baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Hata tuliotoka CDM baada ya kutuletea fisadi sasa tutarejea.

Alipaswa kuwajibika kwa kukiuza chama.
Mbowe pia aliahidi kwa kinywa chake kuwa 2023 atang'atuka. Pengine mleta mada ungemtendea Lisu hata nusu ya adabu kama ungehoji kwann Mbowe hajang'atuka hadi leo.
 
1000017200.jpg
 
1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI


View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/

KIFO CHA CHADEMA TAYARI

kapigiwa simu juzi na Adv. Bob Robert Amsterdam msemaji wa mabwenyenye ya magharibi, kwamba lazma kwanza agombee na lazima awe mwenyekiti wa chama cha siasa kabla hawajambackup kwa pesa mingi sana kwajili ya kampeni za urais ,

so,
Lisu asilaumiwe, ni shinikizo na agizo kutoka magharibi kwa mabwenyenye yanayolea familia yake huko ng'ambo 🐒
 
Lakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?

Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama

Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati
 
Lissu yuko sahihi, jambo alilolifanya leo ni muhimu sana kwa CHADEMA kuimarisha chama.

..huo ni mtihani kwa Chadema.

..wasipoweza kufanya uchaguzi mzuri wa Mwenyekiti, na Makamu, watakuwa wamefeli machoni mwa Watanzania.

..Mbowe naye anatakiwa aje na hoja nzuri kwanini aendelee kuwa Mwenyekiti.

..wanachadema waamue nani awe Mwenyekiti wao.
 
Back
Top Bottom