Mbowe pia aliahidi kwa kinywa chake kuwa 2023 atang'atuka. Pengine mleta mada ungemtendea Lisu hata nusu ya adabu kama ungehoji kwann Mbowe hajang'atuka hadi leo.Mbowe alipaswa kuondoka baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Hata tuliotoka CDM baada ya kutuletea fisadi sasa tutarejea.
Alipaswa kuwajibika kwa kukiuza chama.
Watu hawajuiLissu yuko sahihi, jambo alilolifanya leo ni muhimu sana kwa CHADEMA kuimarisha chama.
kapigiwa simu juzi na Adv. Bob Robert Amsterdam msemaji wa mabwenyenye ya magharibi, kwamba lazma kwanza agombee na lazima awe mwenyekiti wa chama cha siasa kabla hawajambackup kwa pesa mingi sana kwajili ya kampeni za urais ,1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
KIFO CHA CHADEMA TAYARI
Lissu yuko sahihi, jambo alilolifanya leo ni muhimu sana kwa CHADEMA kuimarisha chama.
ππππ€£π !1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
KIFO CHA CHADEMA TAYARI
If wishes were horses.............??
If wishes were horses .....wellIf wishes were horses.............??
Wala usiogope tafadhali, kila kitu kiko under control! Usiogope tafadhali! CCM wanatakiwa kuchanganywa hivi hiviKIFO CHA CHADEMA TAYARI
Let the bygones be bygonesIf wishes were horses .....well
CHADEMA would have triumphed in the 2015 General Elections.
CCM MMEFURAHIMbowe alipaswa kuondoka baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Hata tuliotoka CDM baada ya kutuletea fisadi sasa tutarejea.
Alipaswa kuwajibika kwa kukiuza chama.