johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kapokeeni chanjo za covid~19Unawapa hongera kwa lipi kwani ilipokufa ilikuwa mikononi mwa chadema..mijitu mingine hata hamjielewi
Kutoka Madagascar.Kapokeeni chanjo za covid~19
Wachaga halisi wamekuwa wakijitegemea hata kabla ya JPM.Wachaga tunaojielewa tutampongeza raisi kwa hili, na mengineyo mengi mazur aliyotufanyia ila wale wanaoshikiwa akili na kina Amsterdam na Lisu hawawezi kupongeza wala kushukuru kwa jema lolote linalofanywa na serikali hii ya CCM chini ya mwenyekiti wake raisi John P Magufuli
Bonge ya jab hhaahhaha. Akikujib nitag?Kutoka Madagascar.
Serikali ya CCM chini ya mw/kiti wake raisi JPM kutimiza majukumu yake ktk mikoa yetu ya Kilimanjaro na Arusha, afu na sisi wenyeji wa mikoa hii ambao wengi ni wachaga kumpongeza, huko sio kulamba miguu. Bali ni kushukur kwa kile au yale mazuri yanayofanywa na serikali, tuache kujidanganya kwamb kila kitu tulifanya wenyeweWachaga halisi wamekuwa wakijitegemea hata kabla ya jpm.
Wachaga hawalambi mtu viatu.. hayo masuala ya kina amsterdam na lissu ni masuala ya kusadikika.
Ni siasa tu.
Leo mabasi yote yamejaa anayekata ni Kilimanjaro pekee! Watu wanahainga mno, pita Kilimanjaro pale uone foleni yake na wahudumu wana nyodo kama niniKiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka...
Labda nikuulize ww unaejiita mchaga. Nani alikupa uwakilishi maana wachaga hawajahi kujikusanya wakatoa tamko?Serikali ya CCM chini ya mw/kiti wake raisi JPM kutimiza majukumu yake ktk mikoa yetu ya Kilimanjaro na Arusha, afu na sisi wenyeji wa mikoa hii ambao wengi ni wachaga kumpongeza, huko sio kulamba miguu. Bali ni kushukur kwa kile au yale mazuri yanayofanywa na serikali, tuache kujidanganya kwamb kila kitu tulifanya wenyewe
Ikasaidia tunapiga misele Detective JKutoka Madagascar.
Kupata hiyo ticket ni mtihani. Hamu yote ya tren inakuisha.Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.
Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.
2020 hakuna mchagga atakula Krismas na mwaka mpya Dar es salaam, sote tutakuwa nyumbani Kilimanjaro.
Karibuni wageni.
Maendeleo hayana vyama!