Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

Serikali ya wakoloni ilijenga reli ya Dar Arusha.
Serikali ya CCM ikaua hii reli, baadae serikali ya CCM ikaifufua hii reli kwa manufaa yake halafu watu wanajitoa ufahamu wanaipongeza.
Ni Kama mtu akichafua shati lako, Kisha akalifua. Sijui Kama utampongeza.......
 

Hamna mchaga boya wa kutetemekea treni.
 
Nauli Tsh ngapi?
 
Ccm wanacreat tatizo zen wanalitatua halafu wanakaa kwenye kona wakisubiri pongezi
 
Aliyeuwa safari za treni ndiye anayezifufua na bado anataka kusifiwa ! huu ubwege waufanye masikini wanaolipwa elfu 7 kwa wiki
 
Ni Mimi huwa sielewi au kichwa changu kinakataa tu?

Hivi ni nani alisababisha hii root kutokuwepo? Au kufa?

Wafanye majukumu yao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…