Elections 2010 Hongera CCM

Elections 2010 Hongera CCM

LENGEJU BOB

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
53
Reaction score
29
Naipongeza serikali ya CCM kwa kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi!

Asante mama demokrasia!
 
It is not over until it is truly over.........................Huu siyo wakati mwafaka wa kuipongeza CCM hata kidogo.............
 
Naipongeza serikali ya ccm kwa kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi!

Asante mama demokrasia!

Umekuwa NEC? CCM bado watashika madaraka ya nchi ingawa wapinzani nao watapata viti vya ubunge na udiwani. Nafikiri baada ya kesho utaniambia. Ama tupinge?
 
Wewe mimi nakuambia indicator inawaka kwa Slaa yuleeeeeeeee Mjengoni na Hawara yake
 
Tuvute subira vijana ngoja NEC walete porojo zao
 
Back
Top Bottom