LENGEJU BOB
Member
- Nov 1, 2010
- 53
- 29
Naipongeza serikali ya CCM kwa kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi!
Asante mama demokrasia!
Asante mama demokrasia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is not over until it is truly over.........................Huu siyo wakati mwafaka wa kuipongeza CCM hata kidogo.............
Naipongeza serikali ya ccm kwa kusimamia uchaguzi ulioiondoa yenyewe katika uongozi wa nchi!
Asante mama demokrasia!
Umekuwa NEC? CCM bado watashika madaraka ya nchi ingawa wapinzani nao watapata viti vya ubunge na udiwani. Nafikiri baada ya kesho utaniambia. Ama tupinge?