Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,107 Reaction score 9,272 Jul 17, 2020 #21 Mwanzi1 said: Mpaka sasa, Chadema imejaza 30% tu ya majimbo yote. Kwengineko bado ni mtihani na wanasuburi kwa hamu watakaopunguziwa CCM. Hata ACT nao wako mkao wa kula ikija swala la wagombea. Click to expand... wenzio wansema ni 5% vipi wewe umekuja na 30% ??
Mwanzi1 said: Mpaka sasa, Chadema imejaza 30% tu ya majimbo yote. Kwengineko bado ni mtihani na wanasuburi kwa hamu watakaopunguziwa CCM. Hata ACT nao wako mkao wa kula ikija swala la wagombea. Click to expand... wenzio wansema ni 5% vipi wewe umekuja na 30% ??
Kanyigoboy JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 529 Reaction score 1,318 Jul 17, 2020 #22 Lisu ndio rais nyie kaeni hapo na uzuzu wenu 28 chumaa kinatua kutoka Ubelgiji
B Big Eagle JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 592 Reaction score 625 Jul 17, 2020 Thread starter #23 Tabutupu said: Chadema ni chama makini sana , na kina ukomavu ambao hakuna chama cha upinzani kimewahi ufikia. Click to expand... Watu wengine huwa hawapendi neno ongera ndo maana tunafeli
Tabutupu said: Chadema ni chama makini sana , na kina ukomavu ambao hakuna chama cha upinzani kimewahi ufikia. Click to expand... Watu wengine huwa hawapendi neno ongera ndo maana tunafeli
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Jul 17, 2020 #24 Kibanga Ampiga Mkoloni said: wenzio wansema ni 5% vipi wewe umekuja na 30% ?? Click to expand... Waulize hao waliosema 5% wameitoa wapi? Watia nia wengi wa CHADEMA wako mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Singida, Mbeya, Dsm, Morogoro na Dodoma. Je hiyo ni asilimia ngapi?
Kibanga Ampiga Mkoloni said: wenzio wansema ni 5% vipi wewe umekuja na 30% ?? Click to expand... Waulize hao waliosema 5% wameitoa wapi? Watia nia wengi wa CHADEMA wako mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Singida, Mbeya, Dsm, Morogoro na Dodoma. Je hiyo ni asilimia ngapi?
aAllen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 279 Reaction score 366 Jul 17, 2020 #25 iboyamwaka2020 said: kila mtu anakimbia kuchukua fomu za ubunge maana wanajuwa kabisa hawapiti safari hii maana hakuna walicofanya kazi ilikuwa kususa vikao tu bungeni Click to expand... Utapita ww
iboyamwaka2020 said: kila mtu anakimbia kuchukua fomu za ubunge maana wanajuwa kabisa hawapiti safari hii maana hakuna walicofanya kazi ilikuwa kususa vikao tu bungeni Click to expand... Utapita ww