4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda.
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki.
Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama walivyo tegemea , wamekwapua mpira na kukimbia,huu ni ushindi mkubwa sana kwa chama na watz wote wapenda haki.
Wapenzi na wanachama wa chadema hawakujua kama ndani ya chama kulikua na majoka makubwa ya namna hii.
Mungu awalipe kadri haonavyo inafaa.
Wakati watu wanapotea, wanafungwa, wanakufa, wanamwanga damu kumbe yapo majoka makuu ndani ya chama, yalitumia hii kujipaisha kisiasa za kipumbavu.
Leo nipo na amani sana, majoka yamelala mbele , ni hatua nzuri sana kwa uongozi mpya wa chama .
Bora kaa na mwanachama mmoja tu kuliko kuwa na wanachama 10 ambao ni majoka, ipo siku yatakupulizia upupu, kama sio sumu.
Thanks