4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Uasi ndani ya chama ni mkubwa.Wana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda ......
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki.
Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama walivyo tegemea , wamekwapua mpira na kukimbia,huu ni ushindi mkubwa sana kwa chama na watz wote wapenda haki.
Wapenzi na wanachama wa chadema hawakujua kama ndani ya chama kulikua na majoka makubwa ya namna hii.
Mungu awalipe kadri haonavyo inafaa.
Wakati watu wanapotea ,wanafungwa ,wanakufa ,wanamwanga damu kumbe yapo majoka makuu ndani ya chama ,yalitumia hii kujipaisha kisiasa za kipumbavu.
Leo nipo na amani sana , majoka yamelala mbele , ni hatua nzuri sana kwa uongozi mpya wa chama .
Bora kaa na mwanachama mmoja tu kuliko kuwa na wanachama 10 ambao ni majoka , ipo siku yatakupulizia upupu,kama sio sumu.
Thanks
Mammluki watupishe chadema imara ijengweWana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda.
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki.
Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama walivyo tegemea , wamekwapua mpira na kukimbia,huu ni ushindi mkubwa sana kwa chama na watz wote wapenda haki.
Wapenzi na wanachama wa chadema hawakujua kama ndani ya chama kulikua na majoka makubwa ya namna hii.
Mungu awalipe kadri haonavyo inafaa.
Wakati watu wanapotea, wanafungwa, wanakufa, wanamwanga damu kumbe yapo majoka makuu ndani ya chama, yalitumia hii kujipaisha kisiasa za kipumbavu.
Leo nipo na amani sana, majoka yamelala mbele , ni hatua nzuri sana kwa uongozi mpya wa chama .
Bora kaa na mwanachama mmoja tu kuliko kuwa na wanachama 10 ambao ni majoka, ipo siku yatakupulizia upupu, kama sio sumu.
Thanks
Hiyo nafasi ya kwao wenye vina saba vya Uasi hawataipa ,chadema ipo mokononi salama ya wa tz wenyeweUasi ndani ya chama ni mkubwa.
Hawa wote wanaoondoka kipindi hiki kigumu cha ufidhuli wa CCM ni maadui wetu.We Make Peace with our Enemies (let alone so called enemies) and not our Friends..
Hii tabia ya kuitana wasaliti na majina ya ajabu ajabu kwa watu tusiokubaliana nao nadhani sio poa...; All you can do is wishing them good luck na wao wawe na staha ya kutokutukana walipotoka... Life goes On...
Jambo kama halitoeleweka linakwenda seneti kule wahuni wana maamuzi magumu ni kuja jumba jeupe na kumnyofoa.Mungu tusaidie tufunge milango kwa wapumbavu na kuwasikiliza wenye hekima.Thank God, kupe wameondoka wanaenda kwa Mzee wa Ubwabwa huenda watamzulumu na chama.
Wapi hao, nimesema majoka ,wataje basi kama unawajua , mie siwajui , naijua chadema na nchi basiWe Make Peace with our Enemies (let alone so called enemies) and not our Friends..
Hii tabia ya kuitana wasaliti na majina ya ajabu ajabu kwa watu tusiokubaliana nao nadhani sio poa...; All you can do is wishing them good luck na wao wawe na staha ya kutokutukana walipotoka... Life goes On...
Never ever ,do so called wishing them any more.We Make Peace with our Enemies (let alone so called enemies) and not our Friends..
Hii tabia ya kuitana wasaliti na majina ya ajabu ajabu kwa watu tusiokubaliana nao nadhani sio poa...; All you can do is wishing them good luck na wao wawe na staha ya kutokutukana walipotoka... Life goes On...
Chama kimeshinda Umma umeshinda TAL ameshinda aliahidi kukirudisha chama kwa Umma amefanikiwa ndani ya muda mfupi sana tofauti na walivyotarajiaWana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda.
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki.
Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama walivyo tegemea , wamekwapua mpira na kukimbia,huu ni ushindi mkubwa sana kwa chama na watz wote wapenda haki.
Wapenzi na wanachama wa chadema hawakujua kama ndani ya chama kulikua na majoka makubwa ya namna hii.
Mungu awalipe kadri haonavyo inafaa.
Wakati watu wanapotea, wanafungwa, wanakufa, wanamwanga damu kumbe yapo majoka makuu ndani ya chama, yalitumia hii kujipaisha kisiasa za kipumbavu.
Leo nipo na amani sana, majoka yamelala mbele , ni hatua nzuri sana kwa uongozi mpya wa chama .
Bora kaa na mwanachama mmoja tu kuliko kuwa na wanachama 10 ambao ni majoka, ipo siku yatakupulizia upupu, kama sio sumu.
Thanks
Binafsi maadui ninawaojua hawajawahi kubadilika ni Umasikini, Ujinga na Maradhi hao wengine naona ni nguvu kazi na watanzania wenzangu na utofauti wa fikra kwangu ni merit na sio demerit, kabla ya kuwapiga maadui hao wakuu ni upuuzi kuendelea kutafuta maadui wengineHawa wote wanaoondoka kipindi hiki kigumu cha ufidhuli wa CCM ni maadui wetu.
Kwahio mlikuwa mnafuga nyoka ? Je wamekwisha au tuendelee kila baada ya muda kushughulika na kufukuza so called majoka ? Na wengine tunaowaalika na wakati tuliwaita mafisadi wale walikuwa majoka, nyoka au minyoo ?!!!Wapi hao, nimesema majoka ,wataje basi kama unawajua , mie siwajui , naijua chadema na nchi basi
Unaweza Kuta hili ndo think tank la chadema chakavu ya lissu. Inasikitisha sana. Chadema inaharibiwa na hawa wendawazimu wa kukurupuka.......kutukana na kuwakashifu wenzao ndiyo sifa yao kuu wenyewe. Halafu ilivyo mijinga, katikati ya dhambi zao eti inataja Mungu bila haya......minafiki hii! Mungu ataendelea kuwalaani.Wana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda.
Rejea mada tajwa hapo juu
Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki.
Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama walivyo tegemea , wamekwapua mpira na kukimbia,huu ni ushindi mkubwa sana kwa chama na watz wote wapenda haki.
Wapenzi na wanachama wa chadema hawakujua kama ndani ya chama kulikua na majoka makubwa ya namna hii.
Mungu awalipe kadri haonavyo inafaa.
Wakati watu wanapotea, wanafungwa, wanakufa, wanamwanga damu kumbe yapo majoka makuu ndani ya chama, yalitumia hii kujipaisha kisiasa za kipumbavu.
Leo nipo na amani sana, majoka yamelala mbele , ni hatua nzuri sana kwa uongozi mpya wa chama .
Bora kaa na mwanachama mmoja tu kuliko kuwa na wanachama 10 ambao ni majoka, ipo siku yatakupulizia upupu, kama sio sumu.
Thanks
Maadui wakubwa wa Tanzania ni machawa,mapolisi,TISS,na CCM.Binafsi maadui ninawaojua hawajawahi kubadilika ni Umasikini, Ujinga na Maradhi hao wengine naona ni nguvu kazi na watanzania wenzangu na utofauti wa fikra kwangu ni merit na sio demerits, kabla ya kuwapiga maadui hao wakuu ni upuuzi kuendelea kutafuta maadui wengine
Hawawezi kujibu hayo maswali, yataishia kukutukana tu. Mipumbavu kweli hiyo mijitu.Kwahio mlikuwa mnafuga nyoka ? Je wamekwisha au tuendelee kila baada ya muda kushughulika na kufukuza so called majoka ? Na wengine tunaowaalika na wakati tuliwaita mafisadi wale walikuwa majoka, nyoka au minyoo ?!!!
Plus hawa wanaotetewa na ulaya Ili kupitisha ajenda ya ushoga.Maadui wakubwa wa Tanzania ni machawa,mapolisi,TISS,na CCM.