Hongera CHADEMA na Watazania kwa ujumla, wahuni wamekimbia

Kwahio mlikuwa mnafuga nyoka ? Je wamekwisha au tuendelee kila baada ya muda kushughulika na kufukuza so called majoka ? Na wengine tunaowaalika na wakati tuliwaita mafisadi wale walikuwa majoka, nyoka au minyoo ?!!!
Kwa sasa tunazungumza majoka yaliyokua yamejificha kufanya ushetani yao yamekimbia kwa kukutana na nguvu ya Mungu, nyoka hata kwenye Biblia ametajwa kama shetani.

Shetani hawezi shinda nguvu ya Mungu .

Maswali yako mengine badae , wapenda haki tupo na furaha kubwa.

Zipo familia yatima ,hila majoka hayakujua haya?
 
Unalia kutoka wapi mkuu, nimesema majoka ,je hu joka ? kama sio joka kaa kitako ,msemo wa pwani huo
 
Nyoka yeyeto akionekana ni kutimua tu. Lissu atawanyoosha majoka yote
Bwaha! Bwaha! Bwahahahahaaaaa!!
Nyumbu ndicho mlichobakisha Cha kusema hicho........ kalagabagho! Mtajua kuwa hamjui na hako ka-chiba kenu. Labda awanyooshe huko kwenye upigaji wa tone tone.
 
Mamluki ama tusi la nguoni ndiyo wanayostahili kuitwa ama kutamkiwa.

Kutofautiana mawazo ndiyo uhai wa binadamu na siyo kununuliwa kisha mtu anajizima data na kubakia zombie.
What for?
 
Wahuni baada ya kukosa madaraka wamekubali yeshee.

Wameona HOJA zao zote watanzania wamezipuuza.
 
Mamluki ama tusi la nguoni ndiyo wanayostahili kuitwa ama kutamkiwa.

Kutofautiana mawazo ndiyo uhai wa binadamu na siyo kununuliwa kisha mtu anajizima data na kubakia zombie.
What for?
Karne hii ya Sayansi na Teknolojia ambapo tunia ina Ziada wakati kuna watu hawana hana Chembe una muda wa kutukana watu ?!!!

Kwanini usitumie muda huo kusaidia wabangaizaji ambao majority wanatoka Bara hili lenye kila kitu....
 
Ndio maana Wasanii wa Bongo wanatutukana na kutuona walio wengi wajinga kwa kusema SA100 mitano tena kumbe wamekopeshwa fedha wanatumia kwenye starehe zao alafu hawataki kulipa!

WATANGANYIKA AMKENI.

GOD BLESS TANGANYIKA

Your browser is not able to display this video.


View attachment 3328358
 
Karne hii ya Sayansi na Teknolojia ambapo tunia ina Ziada wakati kuna watu hawana hana Chembe una muda wa kutukana watu ?!!!

Kwanini usitumie muda huo kusaidia wabangaizaji ambao majority wanatoka Bara hili lenye kila kitu....
Sijaona popote ulipolaani hawa matapeli na wachumia tumbo wa kisiasa tunaowaongelea!
 
Bwaha! Bwaha! Bwahahahahaaaaa!!
Nyumbu ndicho mlichobakisha Cha kusema hicho........ kalagabagho! Mtajua kuwa hamjui na hako ka-chiba kenu. Labda awanyooshe huko kwenye upigaji wa tone tone.
User name only reflect, how your brain is function less
Haya, endeleeni kusubiri uraisi wa lissu🀣🀣🀣🀣
Akili ndogo ,relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…