SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ndiyo maana Corona ikaamua kupita nayeMagufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekani mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah sio Versatile?Bottom anamtetea TOP wake!!! Shame!
tuna jamaa mmoja muongo muongo hivi ambae kwa imani yake anaweza kuongea na wafu. Mtu alietuhakikishia uhai wa marehemu kwa kudai kazungumza nae kwenye simu.Kwani tuna waziri mkuu?
ni kwasababu Marehemu Mzee Pombe ndiyo alikua ana-entertain huu ubaradhuli.Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Huyo katelefoni anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu.Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.
Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.
Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"
Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.
Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.
Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.
View attachment 1818470
Ninasikia tunatakiwa kuendeleza legacy.ni kwasababu Marehemu Mzee Pombe ndiyo alikua ana-entertain huu ubaradhuli.
Hii picha imem shape umbo muhusika. [emoji23][emoji23][emoji23]
JUMA RAIB (Mayor wa Moshi) alikuwa mwizi wa magari, na alikuwa na kesi hakimu mkazi Moshi 2012, amekuwa na matukio mengi sana;Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.
Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.
Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"
Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.
Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.
Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.
View attachment 1818470
Ikithibitika ni kweli,Waziri Mkuu anatakiwa ajiudhuru kulinda heshma yake.waziri mkuu kafikishiwa malalamiko akanyamaza kimya
Wewe soma habari vizuri,unaambiwa alifika hadi kwa Waziri Mkuu.Mzee Lymo aliibiwa pesa, then akakaa kimya?
Duh?
Nyinyi watu si wa kuwaamini haraka haraka, vyombo vyetu vya usalama vikikuta Sabaya ana hatia nitaamini.
ila ana shep hata kutuzidi sisi.Hii picha imem shape umbo muhusika. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo katelefoni anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu.
Umeona eeeh, nae anajua hilo bas anapita mule mule kuringishia [emoji23][emoji23][emoji23]ila ana shep hata kutuzidi sisi.
Kwa sababu Sabaya alikuwa mtoto mpendwa wa baba kabla hajawa yatimaNi kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
Kkkkk Bashite amekuzidi shape wewe! Ndio maana marehemu alikufa akaoza!Hii picha imem shape umbo muhusika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwendakuzimu alikufa akaoza!ila ana shep hata kutuzidi sisi.
KkkkkkkUmeona eeeh, nae anajua hilo bas anapita mule mule kuringishia [emoji23][emoji23][emoji23]
Dona kantre.Hilo ndio lilikua jembe la mwendazake, mwenyewe anawaambia "chapeni kazi, hii nchi ni tajiri"