jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Tatizo wengine siku hizi hawataki kitimiza wajibu wao, ndiyo maana Mtu akitokea kutimiza wajibu wake tunaona anatufanyia Kama hisani tu!!Mtu anatimiza wajibu wake unamfungulia uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wengine siku hizi hawataki kitimiza wajibu wao, ndiyo maana Mtu akitokea kutimiza wajibu wake tunaona anatufanyia Kama hisani tu!!Mtu anatimiza wajibu wake unamfungulia uzi
Unajuaje labda ndio ilikua tabia yake na yeye hivyo hakuona ajabu wateule wake na wenyewe kuiga mema ya babaMagufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Magufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapana sidbani hivyo. Magu alikuwa anachukia upinzani toka moyoni sasa baada ya wasaidizi kumsoma vizuri either kwa kupewa maagizo au kujua mkuu anahitaji nn, wao wakajiongeza. Wakifanya tukio wanamtaarifu huyu fulani anawafadhili CDM basi anapata baraka zote za mkuu. Jamaa anapiga hela kesi closedMagufuli atakuwa alilishwa limbwata na wasaidizi wake haiwezekan mambo kam haya yatokee na awe kimya kias kile dah?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Majaliwa nae alimfikishia makamo wa Rais wa kipindi hicho,Mama Samia nae Mama akakaa kimya!!Siyo magufuli tu Bali hata waziri mkuu naye anatakiwa kushtakiwa kwani aliripotiwa matukio ya sabaya na hakuchukua hatua zote!
Magufuli nada lakini wasaidizi wake wapo nao washitakiwe kwa kunyamaza kadhia za sabaya kwani waliyajua!
Ukitaka kujua sabaya alikuwa katili tafuta clip ambayo inamwonyesha akitoa kichapo kwa mfanyabiashara wa Arusha .Mzee Lymo aliibiwa pesa, then akakaa kimya?
Duh?
Nyinyi watu si wa kuwaamini haraka haraka, vyombo vyetu vya usalama vikikuta Sabaya ana hatia nitaamini.
Hata ubunge wake aliupata kwa dhuruma.Aliipenda kazi yake zaidi.
Hata angekuwepo wakati huo asingewezaWengi walishindwa including PM
Uwe unatumia akili kwan hawez kutoa pesa ndani huku akiwa na escort ya polisi? Nan atajua kuwa analazimishwa kutoa pesa hayo maeneo ya bank ,na ukizingatia kwenye mabenk Kuna askari hao hao walio chini ya mkuu wa wilaya."Polisi walimsindikiza bank akaenda kutoa sh 25M" ATM zinatoa sh 2M tu kwa siku, usiku bank zimefungwa 25M alitoaje?
Uwe unatumia akili kwan hawez kutoa pesa ndani huku akiwa na escort ya polisi? Nan atajua kuwa analazimishwa kutoa pesa hayo maeneo ya bank ,na ukizingatia kwenye mabenk Kuna askari hao hao walio chini ya mkuu wa wilaya.
Hata watoa huduma za pesa hawawez kuhis kitu maana wao watawaza kuwa mzee kaamua kuomba ulinz ili pesa yake ifike salama huko inakoenda.
Tatizo watu mnawaza kutoa pesa bank ni had na atm tu .
Alafu wapi pameandikwa sabaya alivamia usiku kwa huyo mzee ,okey na hata angevamia usiku kwan hawawez kukaa nae hapo hapo kwake had kukuche na kwenda kuchukua pesa bank?
Unapoongelea kitu jaribu kushirikisha ubongo na mdomo ,viunganishe kabla hujaropoka
Yaani majitu mengine yana upeo mdogo sana wa kuchanganua mamboHawa ndio wale wanaoshika mkia darasani.
Yule hakuwa binadamu wa kawaida, ndiyo maana nature ikaamua kumchukua mapema (natural selection) ili wengi waponeAliyemteua ndiyo alikuwa mpuuzi zaidi