Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

Ngoja tuone kama huu uzushi na njama zenu mabwanyeye wa kimachame zitafanikiwa
Ngoja tuone kama hawa mabwanyenye wa kimachame watafanikiwa kumzushia sabaya kesi. Dc mzima akamvamie mfanyabiashara na kumpora pesa? Lema anafikiri kwa kua alikua mwizi wa magari na kisha kufanikiwa kua mbunge basi hata dc mteule wa rais anaweza kusingiziwa ujambazi.
 
System za TZ siyo nzuri- Hivi kwanini mpaka agizo litoke juu kama tukio limetokea katika eneo lako? Kwa mfano jana mama katilia shaka gharama za ujenzi wa jengo BOT Mwanza- Sasa kwa ishu kama ile mpaka mama awaagize tena TAKUKURU?
Yaani ni shida... kweli aisee mpaka mama pia jengo hilo la BOT,kama kashtukia gharama na sijui hata kulikuwa na umuhimu gani kwa jengo kujengwa na Gym pia humo ndani, badala ya vitu vile vya msingi wa shughuli za BOT.... Gym inajengwa humo kutumia kodi za wananchi ... kazi kwelikweli.
 
System za TZ siyo nzuri- Hivi kwanini mpaka agizo litoke juu kama tukio limetokea katika eneo lako? Kwa mfano jana mama katilia shaka gharama za ujenzi wa jengo BOT Mwanza- Sasa kwa ishu kama ile mpaka mama awaagize tena TAKUKURU?
Dawa ni katiba mpya itayorejesha mamlaka kwa watu.
 
nikifikiria nje ndan. Na ukristo wangu wote. nahitimisha na hili. TUKUBALIANE TU KIROHO SAFI WAISLAM WAWE NDO VIONGOZI WA NAFASI ZENYE UHITAJI MKUBWA WA HAKI NA HOFU YA MUNGU! until further notice and FATHER notices.
 
Huyu Dogo alikua fala sana, alikua anafanya matukio na Anaacha ushahidi.
Nchi kweli tuliikabidhi kwa washamba na malimbukeni, huyu mmaasai hafai hata kukamua ng'ombe maziwa, yaani aliamini ni untouchable kiasi hiki??

Kila alipokwenda kuharibu alikuwa anarekodiwa mwanzo mwisho, Mungu amhoji mwendazake anamuachaje Sabaya na hakumchukua waende wote??

Aisee, pole kwa familia ya Lyimo.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Historia inatukumbusha mengi. Enzi zile Hitler akiwaongoza Wajerumani na kuwatumbukiza katika shimo lenye kiza, waliendelea kumsifu na kumtukuza. Mwisho wake walishindwa na kugundua makosa waliyofanya katika kipindi hicho. Hadi sasa bado kuna Mataifa hapa Duniani ambayo yanaishi katika mazingira kama yale ya enzi za Hitler pamoja na kuwepo kwa historia hiyo. Mara nyingi viongozi wanayofanya haya wanakuwa kama miungu watu na hutumia vyombo vya dola kuhakikisha kwamba wanaendelea kuwa watawala daima dawamu. Maovu yana mwisho na mara nyingi viongozi hao mwisho wao huwa mbaya sana.
 
Mimi naamini nilichoambiwa kuhusu marehemu, ilikuwa ni kweli. Sidhani kama marehemu, wakati wote alikuwa katika ufahamu wake. Na yeye mwenyewe aliwahi kudokeza mara mbili:

"Itategemea hiyo siku nimeamkaje"
" Nimekuteua wewe Mpina kwa sababu wewe ni kichaa mwenzangu'
 
Ukijaribu kutafakari kwa kina na kama sheria isipopindishwa...

Kama kuna ubaya/uovu wowote utathibika kwamba Sabaya aliufanya, basi sheria isimuache hata mmoja aliyeshirikiana naye/aliyemuwezesha...

Haiingii akilini hata kidogo kwamba ubaya wote Sabaya aliamua tu kuufanya kwa sababu alikuwa na nia ovu, lazima kulikuwa na wakubwa zake ama anachukuaa maagizo kwao au anakingiwa kifua nao...
 
Usalama pekee wa Sabaya ni kifungo cha Maisha .
 
nikifikiria nje ndan. Na ukristo wangu wote. nahitimisha na hili. TUKUBALIANE TU KIROHO SAFI WAISLAM WAWE NDO VIONGOZI WA NAFASI ZENYE UHITAJI MKUBWA WA HAKI NA HOFU YA MUNGU! until further notice and FATHER notices.
Ona huyu mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…