Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema.

Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.

 
DED yupi,alieondoka kwenda kibaha mshamu munde au huyu mpya mwantumu mgonja?
Rudia andiko lako,ndugu.
 
Ni DED wa wapi huyo, tuje tumsaidie kuamka kabla ya mkojo....
 
Back
Top Bottom