Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Hongeraa DeepPondKatika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara nakupa hongera sana na Mungu akupe afya jema mwakani utuletee nyuzi zaidi , ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu๐๐๐ (Utani) yote kwa yote HONGERA
Itakuwa ni roho mbaya tuwatakwambia hii ni ID yako nyingine
Za kuninyima pilau la xmass[emoji4]Baba J wa mama J
Mkuu unaniruhusu nifanye upembuzi yakinifu kwa mama J๐๐Za kuninyima pilau la xmass[emoji4]
Tena koma kabisa,Mkuu unaniruhusu nifanye upembuzi yakinifu kwa mama J[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni extraordinary threads righter na nyuzi zake hasa hii ua.mwisho imenikumbusha vitabu vya mwandishi mmoja Musiba na kitabu chake tutarudi na eoho zetu, kikosi cha kisasi n.k . Inawezekana wenhi wenu humu bado mlikuwa mmeweka pozi ndani ua boxer za wazee wenu.Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara nakupa hongera sana na Mungu akupe afya jema mwakani utuletee nyuzi zaidi , ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23] (Utani) yote kwa yote HONGERA
Wewe ulikula pilau na wapishi wake langu lingekuongezea kucheua tu๐คฉ,Za kuninyima pilau la xmass[emoji4]
Ha ha ha.....Kweli umeniweza,Wewe ulikula pilau na wapishi wake langu lingekuongezea kucheua tu[emoji2956],
Heri ya krismas Deep
Ha ha ha .....
Pole upunguze sarakasi na mama J๐๐Ha ha ha.....Kweli umeniweza,
By the way, Niko POA nauguza mguu[emoji4]