Hongera DeepPond

Hongera DeepPond

Bundakwetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
551
Reaction score
1,014
Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi.

Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu😂😂😂 (Utani).

Yote kwa yote, HONGERA.
 
Kuweni makini
images.jpeg.jpg
 
Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara nakupa hongera sana na Mungu akupe afya jema mwakani utuletee nyuzi zaidi , ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu😂😂😂 (Utani) yote kwa yote HONGERA
Hongeraa DeepPond
 
Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara nakupa hongera sana na Mungu akupe afya jema mwakani utuletee nyuzi zaidi , ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23] (Utani) yote kwa yote HONGERA
Huyu jamaa ni extraordinary threads righter na nyuzi zake hasa hii ua.mwisho imenikumbusha vitabu vya mwandishi mmoja Musiba na kitabu chake tutarudi na eoho zetu, kikosi cha kisasi n.k . Inawezekana wenhi wenu humu bado mlikuwa mmeweka pozi ndani ua boxer za wazee wenu.

Kiukweli Deepond yuko vizuri katika nyuzi kama hizi.
 
Back
Top Bottom