Povu la nini singo maza?Tokea amdhalilishe mwanamke aliyemzalia watoto, simpendi huyu mtoto. Mungu anisamehe tu.
Prove it! Ukishindwa we mchawiDiamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
Tatizo/kosa hapo ni nini!? Ukishindwa kujibu wewe ni mshamba Wa social mediaBwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..
Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Pengine Huyo atakuwa ni salamaWewe ni Salam?
Vipi kama ni kweli penny alitoa hiyo mimba,ana haki ya kufanya hivyo!?Kamtangaza Mpaka Penny Katoa Mimba Yake Kwenye Media, Alipoona Haitoshi Akamtangaza Mpaka Kwenye Wimbo.
Yaani Itakumbukwa Vizazi Kuwa Penny Alitoa Mimba Ya Domo.
Sijui Kwanini Penny Hakumpeleka Mahakamani Kwa Kumfanyia Defamation Ya Hali Ya Juu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mwana kakua
Diamond pia alizungumzia kuhusu Harmonize ambaye ametangaza kujiondoa kampuni ya WCB, โNimempush Harmonize kufika hapo alipo, nafikiri sasa ni wakati sahihi wengine kuwasapoti, tamanio letu ni kuona tunafanikiwa, naomba watu wamsapoti lengo letu ni kusapoti vijana.โ
[emoji120]
Lazima aseme hivyo kwa kuwa bado anawahitaji.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mwana kakua
Diamond pia alizungumzia kuhusu Harmonize ambaye ametangaza kujiondoa kampuni ya WCB, โNimempush Harmonize kufika hapo alipo, nafikiri sasa ni wakati sahihi wengine kuwasapoti, tamanio letu ni kuona tunafanikiwa, naomba watu wamsapoti lengo letu ni kusapoti vijana.โ
[emoji120]
Lile ni takwa la mkataba ambalo Mmakonde akiwa na akili timamu na bila kushurutishwa na mtu alilisaini mwenyewe, sasa sijui ulitaka Diamond afanyeje. Wabongo tunaendekeza sana ujamaa kwenye kazi ndo maana kutoboa kwetu ni kazi.Diamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
we jamaa bana tangu magufuli akutose kwenye teuzi zake umekua kama mwehu,upo upo tu๐๐๐Diamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
mkataba unasema hivyo na hajatozwa na diamond katozwa na kampuni ya wasafi ,harmoniser angeenda mahakamani kama asingeridhika amelipa sababu ameshauriwa na wanasheria wakeBwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..
Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Umenichekesha sana we jamaa hapo kwenye mmakoneeBwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..
Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Hivi ni kwanini huwa hsmtaki kuongea ukweli badala yake mnaebdeshwa ns chuki tu???Hivi tukifukunyua udhalilishaji alioufanya kati ya Mondi na zeri ni yupi alievuka mipaka?Tokea amdhalilishe mwanamke aliyemzalia watoto, simpendi huyu mtoto. Mungu anisamehe tu.
Kwakuwa unaendeshwa na chuki na roho mbaya ya wivu umeona uungane na muuaji bila hatiaKamtangaza Mpaka Penny Katoa Mimba Yake Kwenye Media, Alipoona Haitoshi Akamtangaza Mpaka Kwenye Wimbo.
Yaani Itakumbukwa Vizazi Kuwa Penny Alitoa Mimba Ya Domo.
Sijui Kwanini Penny Hakumpeleka Mahakamani Kwa Kumfanyia Defamation Ya Hali Ya Juu.
Acha upopoma we makalio,penny mwenyewe alitulia sababu aliambiwa ukweli wewe povu tu mamaeeeNdo alitakiwa akathibitishe hilo mahakamani.
Kuna Viswahili ukicheka navyo vitakuvalia mpaka msuli kwenye dhifa za kitaifa
Sawa Juma LokoleKwakuwa unaendeshwa na chuki na roho mbaya ya wivu umeona uungane na muuaji bila hatia
Sent from my ConeXis X1 using JamiiForums mobile app