Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Tatizo/kosa hapo ni nini!? Ukishindwa kujibu wewe ni mshamba Wa social media
 
Kamtangaza Mpaka Penny Katoa Mimba Yake Kwenye Media, Alipoona Haitoshi Akamtangaza Mpaka Kwenye Wimbo.

Yaani Itakumbukwa Vizazi Kuwa Penny Alitoa Mimba Ya Domo.

Sijui Kwanini Penny Hakumpeleka Mahakamani Kwa Kumfanyia Defamation Ya Hali Ya Juu.
Vipi kama ni kweli penny alitoa hiyo mimba,ana haki ya kufanya hivyo!?
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mwana kakua
Diamond pia alizungumzia kuhusu Harmonize ambaye ametangaza kujiondoa kampuni ya WCB, “Nimempush Harmonize kufika hapo alipo, nafikiri sasa ni wakati sahihi wengine kuwasapoti, tamanio letu ni kuona tunafanikiwa, naomba watu wamsapoti lengo letu ni kusapoti vijana.”

[emoji120]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mwana kakua
Diamond pia alizungumzia kuhusu Harmonize ambaye ametangaza kujiondoa kampuni ya WCB, “Nimempush Harmonize kufika hapo alipo, nafikiri sasa ni wakati sahihi wengine kuwasapoti, tamanio letu ni kuona tunafanikiwa, naomba watu wamsapoti lengo letu ni kusapoti vijana.”

[emoji120]
Lazima aseme hivyo kwa kuwa bado anawahitaji.

> Wasafi Festival

> Wasafi Media

Then, Hajampush bali kawekeza kwake na karudisha pesa aliyowekeza. Period
 
Diamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
Lile ni takwa la mkataba ambalo Mmakonde akiwa na akili timamu na bila kushurutishwa na mtu alilisaini mwenyewe, sasa sijui ulitaka Diamond afanyeje. Wabongo tunaendekeza sana ujamaa kwenye kazi ndo maana kutoboa kwetu ni kazi.
 
Diamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
we jamaa bana tangu magufuli akutose kwenye teuzi zake umekua kama mwehu,upo upo tu😂😂😂
 
Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
mkataba unasema hivyo na hajatozwa na diamond katozwa na kampuni ya wasafi ,harmoniser angeenda mahakamani kama asingeridhika amelipa sababu ameshauriwa na wanasheria wake
 
Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Umenichekesha sana we jamaa hapo kwenye mmakonee
 
Kamtangaza Mpaka Penny Katoa Mimba Yake Kwenye Media, Alipoona Haitoshi Akamtangaza Mpaka Kwenye Wimbo.

Yaani Itakumbukwa Vizazi Kuwa Penny Alitoa Mimba Ya Domo.

Sijui Kwanini Penny Hakumpeleka Mahakamani Kwa Kumfanyia Defamation Ya Hali Ya Juu.
Kwakuwa unaendeshwa na chuki na roho mbaya ya wivu umeona uungane na muuaji bila hatia

Sent from my ConeXis X1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom