Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

Hongera Diamond kwa mtazamo mwema juu ya Kiba na Harmonize. Huu ndio uungwana

Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
Ungekuwa unafahamu mikataba ya muziki inavyokuwa duniani kote, wala usingetaja hilo la 500M! In short, kumtoza Sh. 500M kwa Harmonize hiyo ni pesa ndogo sana kwa sababu thamani yake kwa sasa ni zaidi ya hiyo 500M, wakati aliingia WCB akiwa hana uwezo wa kulipia hata pesa ya studio!

Mosi, unatakiwa kufahamu kwamba msanii akiwa label, nyimbo anazotengeneza ni mali ya label kwa sababu ni label ndiyo inalipia kila kitu!

Pale WCB, Harmonize katengeneza nyimbo nyingi sana, na video zake! Nyingi ya hizi nyimbo video zake zimetengenezwa nje ya nchi! Ulipata kujiuliza nyimbo zote za Harmonize zimegharimu shilingi ngapi audio + video?!

Harmonize kupewa haki ya kutumia hizo nyimbo alizotengeneza akiwa WCB unaamini wamemfanyia ubaya?!

Leo zikitokea label kama Sony au UMG wakaamua kumsaini Harmonize, umeshawahi kujiuliza wataweka mezani shilingi ngapi?! Unadhani offer watakayotoa itakuwa imetokana na nini kama sio na thamani yake iliyotengenezwa na WCB?!

Ukisikia wasanii wapo kwenye label na wanashindwa kutoka si kwa sababu hakuna vipengele vinavyowaruhusu kutoka bali vipengele vinakuwa vigumu mno!

And am telling you, lau kama Harmonize angethubutu ku-review mkataba wake mwaka huu au mwaka jana, dau la kumruhusu kutoka lingekuwa ni zaidi ya hiyo 500M kwa sababu thamani ya Harmonize kwenye soko ni kubwa kuliko 500M. Leo hii akiamua kupiga show back to back, hiyo 500M anairudisha in less than 3 months.
 
ni sawa na kusema, ili soka la bongo liendelee basi team za mpira hazina budi kuungana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,lengo langu ni kwamba, wasanii,wasaidiane katika kufikia malengo yao na sio kupigana vikumbo ili waweze kutoboa kimataifa na kimafanikio.
 
[emoji23]
FB_IMG_15727598305523919.jpeg
 
Diamond ni mnafiki, roho mbaya na wengi wafata upepo wa ccm na chadema hamna akili ya haya mambo
 
Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..

We msukuma mwenzangu hayo ni masharit ya mkataba na ndivyo ilivyo hata kama WCB wangetakaka kumuondoa konde boy kundini wao ndo wangemlipa tena zaidi ya hizo 500m
 
Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..
unaelewa maana ya mkataba nini, kama kaonewa si angeenda mahakamani..ama unatumia hisia ku- judge kitu kuliko uhalisia??
 
Diamond bana, mbele ya camera anajifanya mtu mwema, nyuma ya pazia anawafitini na kuwaroga, huyu jamaa ni snitch
Na hapa ndio watu wengi wanapoenda chaka na kuona kibakuli ndie mkorofi jamaa anajua sana kucheza na media mafia sana chinichini!
 
Kamtangaza Mpaka Penny Katoa Mimba Yake Kwenye Media, Alipoona Haitoshi Akamtangaza Mpaka Kwenye Wimbo.

Yaani Itakumbukwa Vizazi Kuwa Penny Alitoa Mimba Ya Domo.

Sijui Kwanini Penny Hakumpeleka Mahakamani Kwa Kumfanyia Defamation Ya Hali Ya Juu.
Kuweni na kumbukumbu penny mwenyewe ndio alianza akasema Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba uzi upo humu kitambo sana
 
Bwana mdogo kajua kucheza akili za wadanganyika..

Katoka kumtoza mil500 mmakonde wa watu km ada ya kuvunja mkataba, lakni leo anajidai kumtaka kijana ashiriki tamashani..

Sheria ni msumeno ... huo ni mkataba na kuja kwenye tamasha ni biashara mpya..
Kosa lake liko wapi?
 
Lile ni takwa la mkataba ambalo Mmakonde akiwa na akili timamu na bila kushurutishwa na mtu alilisaini mwenyewe, sasa sijui ulitaka Diamond afanyeje. Wabongo tunaendekeza sana ujamaa kwenye kazi ndo maana kutoboa kwetu ni kazi.
Leo mnamuita mmakonde lakini kipindi yupp WCB alikuwa mungu mtu ama kwelu duniani wanafki ni wengi wengine wanafuata upepo tu hawaelewi hata hatma yao ni nini
 
Back
Top Bottom